Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Mkuu kunamdau nilimkopesha laki moja hajanilipa.....nikaja kumkopa Tena laki3 ameilipa kwa mbinde na kutumia ukali...
kunamama nmemkopesha elfkumi na tano imepita miezi mi3 alisema atanipa baad ya siku tatu
Sikuiz akiniona napokea sim ambayo haijaita....yaan Hadi namuhurumia...na istoshe nmeshaachana nayo
Kifupi kwasasa mtu akija na gear yakukopa HAPATI Bora unamby unaomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimkopeshe, mpe tu bila kumwambia kama unampa ili asipokurudishia usiumie wala isiharibu urafiki wenu, akikurudishia haya asiporudisha haya, ila jua kabisa hawalipi hao.

Sent using kidole gumba
 
Yan nmewaza niache lkn nnaona km atanichukulia bwege af tena naona nkimpa atanchukulia mchati

Back
Top Bottom