Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

ni rafiki tuu.....nakushauri kiafrika......piga simu msalimie mama yako kwanza.......then wasiliana na mpenzi wako.....hiyo laki inayokuwasha itakuwa imepingua......rafiki yako huyo mpe 50,000.....usimkopeshe kamwe....mpe na sahau.....tenda wema uende zako........wanawake wasichana ni wachache sana walipaji CASH...........wanajua tunapenda dyudyu.....na rijali hana mzaha.....
 
Uko na moyo wa dhahabu sana mkuu, yani sms ya kwanza "mambo nina shida ya hela?" Huyo tungemalizana baada ya hela ya gesi tu kisha ningemfungia vioo! Ukijiuliza wewe sio bwana wake sasa unafanyaje yasiokuhusu. Mi ningemuuliza hivi mchizi wako anafanya nini sasa kama majanga yote unanihusisha mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom