Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Kama TALA iliwamini ikawakopesha ww ni nani usiwamini viumbe wetu, mkopeshe at 1M
 
Daah na hajataka kurudisha
90% hawarejeshi mkuuu..Mimi Nina experience ya hizo mishe
Mfano NI SIKU TOFAUTI
SIKU YA KWANZA ALISEMA NISAIDIE 60K GESI IMEISHA NIKAMPA
2.SIKU NYINGINE NINA NJAA NISAIDIE HELA NIKANUNUE MCHELE NIKAMPA 30K
MARA YA TATU AKASEMA WEEK IJAYO NINA SHIDA NA LAKI TANO NINA 350K NIBUST 150K N VERY IMPORTANT NIKAMPA 100K
SASA HIVI
SMS YA KWANZA Mambo na xhida ndogo nisaidie 50000
Naandika nafuta naandika nafuta naandika nafuta sijui nimjibu Nini
SIYO DEMU SIO MPENZ N RAFIKI TU WA KAMA MIAKA MITATU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana jamii naombane ushauri nina rafiki angu wa kike tunapendana sana lakin sio mpenzi wangu sasa anahtaji nimkopeshe 100k so nafaa nimpe au nimuache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufala bwana mdogo. Umsaidie sio umkopeshe.Ni wajinga sana kumkopa.Hawarudushi ni kutafuta lawama tu.

Siwezi kumkopesha msichana hela,kama kaomba nyingi sitampa ila zikiwa kidogo nampa.

Kuna fala alilia akiomba nimkopeshe nikamuuliza utanilipaje wakati huna shughuli yoyote,kajiumauma kumbe ananitegea na nyama yake nyekundu!!!Nikasepa kimoja.

Usiwe boya wewe, kwa hiyo hela unaweza piga manzi 3 za nguvu!!!

TUSIPOTOSHANE!!!Za kuambiwa changanya na zako.

Tahadhari,Corona inauwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ni kituu kingine mazee bora tuombane vingine afu cha kushangaza nilishawahi muomba 10k akakataa na boom lilikuwa limetema
Si umesema mnapenda sana mkuu? Kwanini usimkopeshe sasa au nyinyi upendo wenu ni wa kusaidiana nini? Mapenzi hamfanyi umeshasema sasa mnapenda sana kwenye nini kama sio kwenye kusaidiana matatizo mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom