
yan had nawaza sana na sjui nawaza nn
Mpe, ila wanasumbua sana kurudisha
Stay home, stay safe
Corona kills
Kwan we unataka rudishiwa pesa au chchte tuu 🙎♂️
Kwan we unataka rudishiwa pesa au chchte tuu![]()
In this world true best friends are those of opposite gender
In game theory i learnt about what if?so what?if not?if yes? rationality and magnitude of the desirableYan nmewaza niache lkn nnaona km atanichukulia bwege af tena naona nkimpa atanchukulia mchati
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na ukaribu wenu na mnachukulianaje? Ila kwa uzoefu hawalipi haoYan nmewaza niache lkn nnaona km atanichukulia bwege af tena naona nkimpa atanchukulia mchati
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamii naombane ushauri nina rafiki angu wa kike tunapendana sana lakin sio mpenzi wangu sasa anahtaji nimkopeshe 100k so nafaa nimpe au nimuache.
Angalia usijekuwa unataka kuingilia majukumu ya mtu mwingine
Usikute kuna jamaa anajimegea halafu wewe uanze kumpa pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu tunalipa hata kama ni kwa kutia hurumaHuwa mnatia huruma wakati wa malipo