Acha ufala bwana mdogo. Umsaidie sio umkopeshe.Ni wajinga sana kumkopa.Hawarudushi ni kutafuta lawama tu.
Siwezi kumkopesha msichana hela,kama kaomba nyingi sitampa ila zikiwa kidogo nampa.
Kuna fala alilia akiomba nimkopeshe nikamuuliza utanilipaje wakati huna shughuli yoyote,kajiumauma kumbe ananitegea na nyama yake nyekundu!!!Nikasepa kimoja.
Usiwe boya wewe, kwa hiyo hela unaweza piga manzi 3 za nguvu!!!
TUSIPOTOSHANE!!!Za kuambiwa changanya na zako.
Tahadhari,Corona inauwa!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app