kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Kivipi eboo😅😅Daah jamaa anataka kuwasha bangi kwa mshumaa wa kanisani.
Kivipi eboo😅😅Daah jamaa anataka kuwasha bangi kwa mshumaa wa kanisani.
KivipiANGALIA UNAVYOJICOMENTISHA
Mambo mengine ni mwiko amuache shemej yke apate relief waungwana tupo.Kivipi eboo😅😅
Muungwana huna ubaya😅😅Mambo mengine ni mwiko amuache shemej yke apate relief waungwana tupo.
Nini sasa dada Eva 🤣🤣🤣🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Pumzika nduguNini sasa dada Eva 🤣🤣🤣
Ni upendo tu mpk ananiombea kw mungu niishi mpka atakapokufa yeye tukalisebenze khahera mpk malaika nao waone wivu.Muungwana huna ubaya😅😅
Maisha yangu hayapumziki, nifanyeje?Pumzika ndugu
Hatari sanaKivumbi
Ila kuna huyu mmoja alioa, tunamuweka kwenye kundi gani?Mashemeji siyo wa kuwachekea kabisa hawana adabu
Akitaka kusema wewe ni demu wetu...Malizia kama unajiamini 🤣🤣🤣
Kwa hiyo na wewe umo kwenye wanaume zangu 🤣🤣Akitaka kusema wewe ni demu wetu...
Alivomaanisha yeye, 🤣🤣Kwa hiyo na wewe umo kwenye wanaume zangu 🤣🤣
Sema neno kaka mkubwa🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄