Rafiki wa Ex wangu ananitongoza

Rafiki wa Ex wangu ananitongoza

Kwahiyo hapo Unahisi huyo ex wako hajui kama rafiki yake kakutongoza??
Huwajui vijana wewe
Kumbe wanaweza wakawa wametumana kunipima.
Sasa mbona na huyo Ex mwenyewe kila siku meseji na simu haziishi anaomba msamaha, au ni maigizo tu?
 
Back
Top Bottom