TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Inawezekana alishatutangulia mbele ya haki,hii ndiyo garama ya anonymity identification!!DARESALAAM yuko wapi mazee???
Inawezekana alishatutangulia mbele ya haki,hii ndiyo garama ya anonymity identification!!DARESALAAM yuko wapi mazee???
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.
Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.
Iko wazi na inajulikana urafiki wa Besigye na Slaa, sasa hapo cha ajabu nini? Poleni sana CDM kwa msiba mwingine huo
JF inapoteza mvuto wake wa awali kwa kuruhusu wapuuzi wasio na idadi kuchangia utumbo wao. Imejaa mipasho kama wale wa vidole juu. Nahisi niko katika wrong forum
Leo baada ya Besigye kushindwa mnamkana wakati ni swahiba wenu wa karibu ? hii yaonyesha wananchi walio wengi bado hawajawakubali wapinzani kuchukua dola
Msiba wako mwenyewe ambaye unashabikia usichokijua wala kisichokusaidia...mpiga debe lini kama mmiliki? CCM ina wenyewe na wewe unapiga debe tu...wala hujali ideology yake hata kama ina-affect mama yako au baba yako au mwanao...au kizazi kijacho, au hata wewe mwenyewe...a blind follower will always end up in a pit together with those he follows... If you are creative enough, you will be thinking on how to bring a better future for yourself and for your fellow Tanzanians na si kukaa kutafuta umbea huko na huko...wake up, work, and be creative....
Sioni kama kuna hoja katika maelezo yako. bwana Kizza ameshindwa uchaguzi na Mseven ameshinda.Hii haina impact kwa CHADEMA,kwa sababu ilani ya kizza Besigye kama ilikuwa nzuri,basi ni pigo kwa Waganda na si Chadema.
Huyu ni genius makalio
Huko siyo kushindwa ni kuporwa. Maana siku moja kabla ya uchaguzi, Museveni nilimkariri kwenye luninga ya Al-jazeera kwenye Idhaa ya Kiingereza akisema, "huyo anayesema kupinga ushindi wangu dawa yake ni kumuweka gerezani tu ama mahakamani". Hiyo ni siku kabla ya uchaguzi. Sasa matokeo kwenye mazingira hayo utasema ushindi ama kushindwa? Hakukuwa na uchaguzi, bali kulikuwa na taratibu za kumtangaza Museveni kuendelea kuwa madarakani.
Hivi shida hapa ni nini? Kushindwa kwa Besigye au ni urafiki wake na Slaa? Kama ni kushindwa kwa Besigye au upinzani huko Uganda kama unavyotaka kusema; mbona huzungumzii KANU ilipopigwa mweleka huko Kenya. Nani asiyejua jinsi ambavyo wakati huo Capt komba alivyokwenda na timu yake huko Kenya lakini wakapigwa chini. Kingine kinachoonekana katika ushindi wa Mseveni ni hasa kushindwa kwake kama ambavyo JK aliporomoka. Ushindi wa 68% kwa raisi aliyeko madarakani akiwa na nguvu zote za dola si wa kujivunia. Na hivyo ndivyo alivyoporomoka JK hadi 61%.
JF inapoteza mvuto wake wa awali kwa kuruhusu wapuuzi wasio na idadi kuchangia utumbo wao. Imejaa mipasho kama wale wa vidole juu. Nahisi niko katika wrong forum
Kwa kifupi wewe sio geneous kama unavyojinadi!!