Rafiki wa CHADEMA Uganda ashindwa uchaguzi

Mbona huongei kuhusu marafiki wa CCM ....kina Gadaffi, Mubaraka etc ....wanavyong'olewa na wananchi.

Tumia akili kuwa wapinzani haimanishi ni marafiki.
Mkuu hapa umemaliza kazi. Nilitaka kumpa kubwa lakini imetosha
 
Mkuu hapa umemaliza kazi. Nilitaka kumpa kubwa lakini imetosha

Sie hapa twaongelea uchaguzi huru na wa haki uliofanyika Uganda na Tanzania ambapo viongozi wakuu wa upinzani Besigye na Slaa waliangukia pua na kushindwa vibaya
 
Sie hapa twaongelea uchaguzi huru na wa haki uliofanyika Uganda na Tanzania ambapo viongozi wakuu wa upinzani Besigye na Slaa waliangukia pua na kushindwa vibaya

kwa hiyo kama walishindwa vibaya inakusaidia nini? Inavyoonekana una chuki sana, na haitakusaidia sana sana itakuletea stress.
 
Ohhh Mungu msaidie mtu...Huyu....Dah....yaani katoka tu...na wanzuki zake...yaani JF....Dah mtu kama huyu anajichanganya na Great thinker...Holy Crap.
 
Ohhh Mungu msaidie mtu...Huyu....Dah....yaani katoka tu...na wanzuki zake...yaani JF....Dah mtu kama huyu anajichanganya na Great thinker...Holy Crap.

Amin, Mungu mpe umri mrefu Great Thinker huyu Genius Brain ili aendelee kutuelimisha sie wakina Buswelu
 
achaneni nae mwenzenu anatumia matak kufikiria ndio maana mawazo yake yanuka ushuzi ushuzi
 
MO-AKICHEZA-KIDUKU.jpg
Kazi kwelikweli, usanii mtupu kama Mwenyekiti wao
 
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.

Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.

Kuna mwana jamvi huwa anakukita stupidbrain na unachokiandika ni uzibitisho tosha..
 
Una akili akili yako imesafiri kama jk anavyo safiri safiri na nchi hii ilivyo kuwa na matatizo kila kukicha wewe pinda kikwete kazi kucheka cheka nakuna kulia bungeni ndiyo akili mliyo kuwa nayo hamna akili nyingine
 
Ni ukweli usio fichika wa urafiki wa Besigye na Slaaa na CHADEMA pia, pole sana najua umekumbushwa machungu ila ndio demokrasia

hivi ni lipi Makamba atatoa comments zake kuhusu maswahiba wa CCM, kina Gaddafi, Mubarak, Mugabe na madikteta kama Gbabo? maana tumeisha msikia Boss wenu EL! au ndio tamko la Chama hilo!
 
Unaakili akili yako ipo kama ya pinda kikwete ya kucheke cheka na kulia bungeni tuu hiyo ndiyo akili mliyo nayo na kusafiri safiri basii nhi inateketea kwa matatizo mara mgawo wa umeme mara mgomo mara vitu vinapanda bila mpango nk nyie mnajadili upuuzi badala ya kujadili mtatatuaje hayo matatizo
 
Back
Top Bottom