Rafiki angu ananiroga

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.

Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.

Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa.
Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.

Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana siku hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"

Ushauri wenu.....
 
Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.

Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.

Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.

Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"

Ushauri wadau
We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
 
Asipo fuata ushauri huu...ajiandae huko mbeleni ku-regret.
 
Tunatofautiana sana mtazamo na mawazo! Kumbe kuna watu bado wanaenda kwa waganga?

Nijuavyo mimi, wachawi wapo hata kwenye maandiko matakatifu wametambuliwa kuwa wapo. Lakini unatakiwa kumwamini Mungu na kukaa vizuri na Mungu kwenye maisha yako, ukishaanza kwenda kwa waganga brother nakuapia siku si nyingi utaanza kuwa mchawi maana hiyo safari haiishii hapo.

Pole kwa kuchagua njia hiyo...
 
We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Asipo fuata ushauri huu...ajiandae huko mbeleni ku-regret.
 
We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Binafsi sikuwa nawajua waganga,
Yeye jamaa ndio alinipeleka. Na mbaya zaidi alikuwa akinipeleka kwa waganga kumbe feki wanapanga mambo yao naenda naliwa hela. Imagine unaenda kwa mganga anataja mpaka ofisi unayofanyia kazi he huoni kama ni mchezo. Na cha ajabu jamaa ni MTU wa waganga sana sasa inafika kipindi ananifanyia vitu badae anakuja anaropoka vyote.
 
Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.

Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.

Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.

Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"

Ushauri wadau
Ramli chonganishi at work
 
Wewe zako umepima?
Kwa mtirirko wako wa mawazo hasi ikiwa na kupigiliwa msumari na kibabu unaonyesha ni jinsi gani unahitaji kusaidiwa kiakili {kisaikolojia} ili usifikie hatua mbaya zaidi.

Maana negative thought zinaenda kwa pattern.. na pia ukumbuke..'AWAZALO MJINGA NDILO LINALOMTOKEA.'
 
Unaweka mafuta alafu unampa gari akaichezee na pesa juu mtu mzima alafu unasema mambo yako hayaendi????

Ulikua unataka uwe unampa private jet lako badala ya gari ndio uone mambo yako yanaenda?
 
Idiot
 
Tunatofautiana uchumi na matumizi
 
Back
Top Bottom