Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,199
- 10,834
Dunia ya leo (karne ya 21) kwenda kwa mganga wa kienyeji ni jambo la kusikitisha sana.
NJOO KWA YESU UUPOKEE UHURU WAKO.
NJOO KWA YESU UUPOKEE UHURU WAKO.
Usiamini sana mambo ya kishirikina, cha msingi mchunguze kama ni rafiki wa kweli au ni mnafiki, kama ni mnafiki tupa kuleNi mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wadau
ndugu huyo babu atakukosesha marafiki muhimu siajabu babu anahisika na mateso yako.........CHANGANYA NA ZAKONi mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wadau
Yesu ni zaidi ya vyote tutaongeaa blablah .............. Mpe Yesu nafasi katika maisha yako kamwe hutajuta.ndugu huyo babu atakukosesha marafiki muhimu siajabu babu anahisika na mateso yako.........CHANGANYA NA ZAKO
kweli kabisa, yalipokuwa mazuri hakutafuta alieyanyoosha sasa yameharibika anatafuta mchawi. Rafiki yake anampa hadi gari sasa akiyaharibu si hata rafiki atakosa.We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Siamini waganga aisee ni waongo kwa hali ya juu/ anaangalia jambo gani litakalokupa tension kubwa akikwambia! then anakwambia hilohiloNi mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa.
Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana siku hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wenu.....
Ulivyoanza kusimulia "...gari unamuazima na hela ndogondogo unampa..." nilijua hujaoa unaishi maisha ya kisela. Aisee! Jitambue rafiki kitu gani jenga familia mfanye mkeo rafiki namba moja.Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa.
Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana siku hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wenu.....
Mkuu njia sahihi ni kusali tu, vinginevyo next atakuambia mama ndio anakulogaNi mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa.
Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana siku hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wenu.....
We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Acha kutufanya watoto wadogo humu, toka lini mtu mwenye pesa akajisifu? Tena unajisifia kwa watu usiowajua!!Uchumi wangu unaujua? Katika yote hayo umeona chakula tu?
Nampa pesa, najaza gari petrol nampa funguo yoote hukuyaona??
Unaonekana mroho sana wewe
Kwangu chakula sio kitu wala magari pesa kwangu vitu vya kawaida sana.
Ata wewe ukitaka chakula njoo ule
Kwani Mimi nimejisifu? We unanijua Mimi. Anyway hakuna tatizoAcha kutufanya watoto wadogo humu, toka lini mtu mwenye pesa akajisifu? Tena unajisifia kwa watu usiowajua!!
Hapa JF mtu anasifiwa kwa mchango wake wa kushare knowledge yake tu,huo uwezo wako (kama ni kweli) itakusaidia wewe tu na familia yako.