Rafiki anapokumegea mama yako....

Kaka Bluray, usipende kumchunguza sana nyoka sehemu za tumboni, waweza pigwa na mshangao kumkuta kumbe ana miguu!!!!


Mi nawaangalia tu vijana wanavyofakamia, wasije kufakamia mpaka sumu bure.
 
Inauma sana. Kijana alifanya vibaya kuingia katika mapenzi na mama ya rafiki yake. Kinachomwumiza hasa kwa kweli ni kwamba aliyefanya kitendo hicho ni Rafiki yake kipenzi. Bila huo urafiki lisingekuwa jambo la kuumiza sana.

Ila kwa hali ya sasa kijana mwenye mama anapaswa kupokea hali halisi japo ni ngumu. Anahitaji kupata ushauri nasaha kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki na hata viongozi wa kiroho ili aweze kupokea hiyo hali na kutulia kwani kwa sasa lazima ameathirika kisaikolojia. Ujue mbaya zaidi alimkuta jamaa akiwa "juu" ya mama. Hii picha haitamtoka yule bwana mdogo katika maisha yake yote. Lazima imemuathiri sana kukuta mama yake akiwa uchi wa mnyama akifanya mchezo huo na rafikiye. Inatisha sana.

Pili, nafikiri kama inawezekana kijana mwenye mama ahamie shule ya mbali ili asiwe anakutana mara kwa mara na "baba mdogo". Hii itamsaidia kuondoa hasira polepole. Vinginevo kama wataendelea kuonana mara kwa mara kwenye mizunguko yaweza kuwa ngumu kwa mwenye mama kusahau. Atakuwa akijeruhika kila akimwona jamaa anadunda kwa furaha, tena mtu aliyetembea na mama mtu kama hana adabu anaweza akawa hata anamtambia jamaa waziwazi ili atambue kwamba yeye ni "baba mdogo".

Ila kwa ujumla tukio hili ni baya sana. Jamani tuwaheshimu mama za rafiki zetu; dada zao, wake zao, nk. Tushinde vishawishi bana. Mbona wanawake wako tele kila mahali?
 
Hapo hakuna jinsi zaidi ya kuwashauri kwenda kufunga ndoa kule kunako husika. Waachane na mambo ya kumegana megana, bila taratibu tulizo jiwekea...!
 
sio rahic kuhivyo, hayajakufika tu.
Sioni kosa hapa kama kila mmoja anapata anachokihitaji kuna ubaya gani..
huyo kijana ambae hataki mama yake aburudishwe na rafiki yake anatakiwa awe mpole au alitaka yeye amburudishe au amchangulie mtu wa kumliwaza mama yake...huko darasani siyo kujua kutoa na kujumlisha ni pamoja na mambo kama hayo...
 

ODM babu Asprin ........ enzi zako hizo.. kabla hujaathiriwa na zoezi la ukaguzi......
 
Last edited by a moderator:
hapa dawa moja tu...nae amtongoze mama wa rafiki yake amle..then ale na dada za rafiki zake wote tena ahakikishe anawapiga mimba.... akishindwa akodi hata wahuni wa kumla tigo huyo rafiki
 
Mkuu Babu Asprin naomba namba za huyo Dogo nimtumie M-PESA akawatafute wafumua Malinda wamyooshe huyo kijana,maana huu Ni udhalilishaji wa Hali ya juu
 
Last edited by a moderator:
Rafiki kamsariti vipi kwani nae alikuwa anataka kummega? mshauli aendelee kumuita baba kwani huwezi kumuonea wivu mamayako.aliye lala na mama ni babayako hatakama ni mdogo. nakujikimbiza kwake nyumbani dogo atakomba kilakitu arudi akadhibiti mali
 
Kuna mambo ya ajabu sana na ni vigumu kuyaeleza kabisa!
 
Nampa pole jamaa...huyo mama atakua shuga momy sio bure hajiheshimu angetafuta mzee mwenzake ...ila kama vip mshikaji na wapotezee ...
 
Ila huyo mama alikuwa anambaka huyo minor, kama ni form four kuna uwezekano mkubwa alikuwa under 18
 
Hamna tatizo hapo alipe kisasi cha nini kwani katendewa ubaya? Kama na yeye anaweza amege mama yake pia LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…