Rafiki anapokumegea mama yako....

Rafiki anapokumegea mama yako....

Cha msingi dogo apotezee tu, kila mtu na maisha yake so mother ndio maisha aliyo yachagua hayo... Aachane naye na wala asilipize kisasi.
 
Mwambie huyo kijana asome aache ujinga. Atalipizaje kisasi kwani kakosewa nini. Mwenye makosa ni mamake alieshindwa kujiheshimu kwani hujui kuna wamama balaa wanatongoza watoto na kuwaahidi zawadi nyingi so lbd huyo rafiki ake aliingia kwenye mtego huo. Cha msingi asome ili aweze kua na maisha yake awaache tu ndio wazazi wa kisasa hao.
 
Kisasi gani??? Anajua usalama wa afya yake utakuwaje?
Kwa wakristo Imeandikwa kisasi ni kwa Bwana,
Aachane na mawazo ya kisasi, Mama yake ndie hana adabu kwa watoto, Aangalie namna anvyoweza kuendelea na maisha yake bila kukereka na hayo ya mama yake
 
unajua kwa sisi wanaume inauma pale mtu anapommega ndugu kike dada/mama/shangazi kama vile kuchezeana/chezeana , lakini kama huwa akioa hakunaga shida.
 
Baada ya kuugua kwa muda mrefu

tobaaa maawee kijana kalivagaaaa

mama ndio kakosea angechukua mkubwa mwenzie siyo kija wa rika na watoto wake haioni navyowaharibu kisaikolojia? kama alishindwa basi angefanya japo siri.
 
kwa kweli inaumiza sana na inatia fedheha mtaani na kwa jamii inayowafahamu. lakini ushauri kwa huyo kijana, asije akaharibikiwa maisha yake na masomo eti tu kwa kuwa rafikie anatembea na mamake, yeye afocus kwenye masomo yake, ili aje awe na maisha yake nje ya nyumbani kwao ili asione maisha hayo ya mamake, as kwa huyo rafikiye, ajue kwamba rafiki ndio atakayeharibikiwa zaidi huu muda anaopoteza kuzurura na mamake atakuja kuujutia, asitake na yeye aingie kwenye mtego huo. huyo mama hata kama si kutembea na huyo rafiki yake angeweza kutafuta mvulana au mwanamume yoyote akafanya nae the same, remember he has to make life much easier to him - has to learn to 'expect nothing and accept everything" take heart 'cause life must go on, no matter what!
 
hatari kweli kweli na ni ngumu sana kutolea majibu kwa mimi ningekuwa nimeshamfanyia mbaya huyo dogo lakini kikubwa ndogo muache mama aendelee na alichoamua
 
Updates Asprin also used to be known as Chrispin back then.
Ila huyo mama alikuwa anambaka huyo minor, kama ni form four kuna uwezekano mkubwa alikuwa under 18
Afu wewe unajua hii ndo inaitwa name calling?

Afu sijakumisi wala nini.....
 
Hii iliwahi kutokea mtaani kwetu na bahati mbaya sana jamaa aliyetendwa hivyo alikuwa anakaujuzi ka ubondia, alimchapa makonde ya kutosha rafiki yake mpaka kazirai mama akakimbia, alivyorudi usiku naye zamu yake kachezea kelbu za kutosha mpaka majirani wakamnusuru, mpaka leo wale jamaa paka na chui na hakanyagi tena pale.
 
Afu wewe unajua hii ndo inaitwa name calling?

Afu sijakumisi wala nini.....

name calling wakati kumbukumbu zilizo wazi zaonesha!

nikwambie kitu, najua hautakipenda lakini ndo hali halisi.......it is very hard not to miss Kaunga......:wink1:
 
name calling wakati kumbukumbu zilizo wazi zaonesha!

nikwambie kitu, najua hautakipenda lakini ndo hali halisi.......it is very hard not to miss Kaunga......:wink1:

Aliyekudanganya sitakipenda ni nani? FYI Huwa nakumisigi mpaka baioloji inatetemeka.
 
Back
Top Bottom