Rafiki anapokumegea mama yako....

Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita.

Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana mambo mengi.

Kijana kaenda shule hakumkuta rafiki yake. Kuuliza akaambiwa anaumwa. Kwa mapenzi aliyo nayo kwa rafiki yake akaamua arudi nyumbani abadili nguo ili akamtembelee rafiki yake mgonjwa. Hapo ndipo alipokutana na zahama. Rafiki yake yuko juu anammega mama yake mzazi, tena sebuleni kwenye kochi! Kijana hakuamini macho yake, kwamba rafiki yake mpenzi anammegea mama yake mzazi!!

Akatoka mbio mpaka kwa uncle wake kumweleza dhahama hiyo. Uncle kajaribu kuweka mambo sawa imeshindikana. Mama kanogewa, kijana kanogewa. Hivi sasa ni kama wameoana, mtaani wanarandaranda na gari ya mama yake rafiki yake, kijana dereva mama abiria! Wala si siri tena

Kijana wa watu amegoma kurudi nyumbani, rafiki yake amemsaliti. Amehamia kwa uncle wake. Kinachomuumiza kichwa zaidi ni kuwa dada zake wawili wanamuunga mkono mama yao. Hawaoni tatizo liko wapi wakati baba yao alishafariki na mama anahitaji pumziko.

Anachotaka sasa ni ushauri, alipe kisasi au asahau aendelee na hamsini zake?
Na kama ni kulipa kisasi, alipeje? Kijana wa watu amechanganyikiwa hata maendeleo yake darasani yameshuka sana.

Wana JF changieni mawazo jinsi ya kumshauri kijana huyu asizidi kuathirika kisaikolojia.
Kazi rahisi sana na hakikisha na mimi nakumega!wewe siumeamua kunidharilisha kwakuona mamayangu siyo mama yako basi na mimi nasema wewe siyo rafiki yangu nakutafutia wazee wakazi na mimi nakumega laivu full video ukitoka hapo na nyumbani kwa mama lazima uame!mwenyewe bila kushurutishwa!
 
Akubaliane na ukweli kwamba kila mtu ana penda na mapenzi tumeumbiwa, kijana akazanie masomo.
 
apotezee tu aendelee na mambo yake ya msingi, kwani kulipiza kisasi hakutasaidia maana kama washakubuhu no way out
 
Back
Top Bottom