Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,107
Hahahaha lol nitafanyaje sasa?
Mi najishusha tu maisha yataendelea nitakuheshimu zaidi kwa vile utakuwa umegeuka baba mdogo sasa.
Hehehehe safi sana kiyana...Lol
Hahahaha lol nitafanyaje sasa?
Mi najishusha tu maisha yataendelea nitakuheshimu zaidi kwa vile utakuwa umegeuka baba mdogo sasa.
Hehehehe safi sana kiyana...Lol
Sasa komredi kama maza amaridhika na mapigo yako mm nitakuzuiaje mzeeya??
hata kama hayupo single kaka, cha msingi ni kulipa kisasi, naye inapendeza akukute juu ya kifua cha mama yake, halafu afeel kama ulivyofeel wewe au vp mkubwaKwa hiyo kama rafiki yangu kaanza na maza, na mimi rukhsa kuanza na maza yake kama yupo single?
Hujasema umri wa huyo dogo, lakini kama ni over 18, basi wote wakubwa. Hao ni consenting adults, kinachotokea baina yao ni juu yao wenyewe. Hakipaswi kumuumiza yeyote.
Sijajua ana umri gani exactly, lakini yuko kidato cha nne. Sasa kadiria miaka hapo, itakuwa between 17 to 19. Usisahau mitihani ya mwisho ya kidato cha nne haiko mbali lakini kijana anajirusha na mmama wa watu.
Mimi nikiwatizamaga Masanilo na Fidel naona kama mapacha vile!!
Mimi nikiwatizamaga Masanilo na Fidel naona kama mapacha vile!!
na wewe kammege mamake sijuwi wote wakizaa watoto wataitanaje? family problems! LOL!....... Ulivyonishushua!!
Na wewe nawe mama ana lana gani? Nani kakwambia mapenzi yana umri? Mwache dogo ajimegee cha muhimu huyo dogo aaanze kumwita rafiki yake baba mdogo.