Radio Safina this is too much

Bora hao star TV wanalikipindi fulani la wanafunzi wanaonyesha wanakatika humo yani michezo mingine tabu tupu.. mwanafunzi unamuwekea bongo fleva mbele ya kamera anaanza kukatika TCRA hivi hamuonagi hilo likipindi halina maudhui mazuri kwa jamii hususani hao wanafunzi wanakata miuno tu!

Hata kama ni michezo wawe wanaangalia na chakuonyesha mbele ya kamera mengine hayafai wale ni wanafunzi na sio wanenguaji.
Wivu tupu
Unazani akina Zuchu watatoka wapi? Tena kipindi hicho ndo moja ya vipindi vitatu ninavyo angalia star tv.
Tupo kidigitali kama huwezi kaangalie TBC
 
Mkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegi
E-iqMw5WYAAEjOM.jpeg
 
hv Shetani mmoja ndiye anafanya mishe mishe dunia nzima na hachoki au halali ?

kama ana wasaidizi wake anawaamrisha cha kufanya akiwa wapi ?
shetani ni roho hana mwili ana malaika zake/pepo wacha/roho chafu nazo hazilali kwa kuwa hazina miili.

Hizi roho chafu zinaishi kwa watu wachafu kama wazinzi, walevi, wezi, wachawi, wafiraji, waabudu sanamu, wenye husuda, wachonganishi n.k Ila zikikemewa kwa jina la YESU zinatoka kwenda kutafuta makazi mengine.
 
Kwasasahivi hawamtumikii Mungu tena

Juzi walisema kuwa wana sadaka za getini na za ndani ya ukumbi na wataweka wanazoita ''Sanduku la Agano'' huko

Kweli haya ni maneno sahihi?

Wanauza mpaka maji, Fruto, vitambaa na kalamu eti wanasema kalamu ni za Israel na zina upako tofauti na kalamu za Tanzania.

SAFINA RADIO SASA MNATIA AIBU, MNAMWAIBISHA YESU KRISTO.
Umesahau na zile cd unazoambiwa nunua nyingi uwezavyo uweke kila chumba Mungu atafanya miujiza 😂😂😂😂 zimejaa ndani hatari
 
Ninamuamini aliyemuumba mimi na wewe na yesu (pbuh) sipo. Ninamshukuru sana Mungu alienitoa nilipokua na kuniongoza kwenye njia sahihi na zaidi naomba aniongoze mimi wewe na wengine wote kwenye njia ya wale anayowaridhia na wala sio wale aliowakasirikia..
Audhubillah, ametakasika mno kuliko chchote na hana mwana.
Asante.
Kwenye hio njia sahihi uliyopo basi usiwe na shaka Mungu Yupo hukohuko, ila kuhusu wokovu waachie walio kwa Mungu kupitia njia ya Yesu Kristo.
 
Asante.
Kwenye hio njia sahihi uliyopo basi usiwe na shaka Mungu Yupo hukohuko, ila kuhusu wokovu waachie walio kwa Mungu kupitia njia ya Yesu Kristo.
Sina shaka na uwepo wa Mungu, na zaidi ni upendo tu ndio maana najiombea mimi na wewe na wengine Mola mlezi wa mbingu na ardhi atuongoze ktk yale yanayomridhisha., atukumbushe pia kumuomba, kumtaja na kumtegemea na kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha na kitu chochote.
Uwe na jioni njema
 
Sina shaka na uwepo wa Mungu, na zaidi ni upendo tu ndio maana najiombea mimi na wewe na wengine Mola mlezi wa mbingu na ardhi atuongoze ktk yale yanayomridhisha., atukumbushe pia kumuomba, kumtaja na kumtegemea na kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha na kitu chochote.
Uwe na jioni njema
Amina sana, Endelea kuniombea mara kwa mara maana Mungu huwasikiliza na Kuwajibu wanaomtii yeye.
 
Maombi tumeanza saa tano usiku hadi sasa hivi yanaendelea na ni kila siku.

Sasa hivi ndio mkurugenzi mkuu Daniel Lema kaingia na maombi mengine.

Hapa shetani lazima aombe poo!

Hongereni watu wa Arusha.

Kwa maombi haya huwa mnalala kweli? Tupeane uzoefu.

Watu wengi waliopiga simu na tatizo la ulevi kwa wanafamilia na magonjwa mbalimbali.
Umelazimishwa?
 
Hahahahaha umenikbusha fruto mtoto wa mamdogo ilikua ni full kudilute kuna siku akadilute mpka ule weusi umeisha maana bibi.kazi kumwaga mlangoni, ukija kwenye chumvi sasa kuna saa zinamwagwa kitandani mpka ukilala kitandani unajihisi umelala bichi hahahah
Hizi comment za huku wajameni
 
Wale mimi siwaamini hata kdg maana wamekuja sana pale nyumbani, bibj kila siku kuwaekea mafuta kwenye magari yao waje wafanye maombi home lkn usanii mtupu
Siku nimeamini hawana lolote ilikua hivi nimemtumia mtoto wa mamdgo picha nimevaa baibui na nipo na mtoto na nimejitanda mtandio mweusi sasa bibi alikua hajamuona mtoto wangu kwa muda kwa sababu sikua nnimeenda arusha kama 3 yrs, yule mtoto wa mdg akamuonesh bibi ile pic ya mimi na mtoto basi bibi kamind kwa nini nimevaa kiislam lkn kamaind kimy kimya suluhisho ikawa ampigie huyo bariki wa safina kamuelezea alivoona pic yangu na muonekano nliokua nao,. Few months later nikaenda arusha , kma kawaida kawaekea mafuta kuja hom mimi nipo rum nasikia wanaongea baadae naitwa nimsalimie bariki, akaanza propaganda kaoneshwa na roho mtakatifu usiku wa jana yake nimevaa baibui na makorokoro kibao yasiyo na maana basi anahitji aniombee roho chafu sijui inayo niandama itoke, mimi nikamwambia i worship the true God ambae sio mpka nipitie wewe ndo anisafishe , binafsi nikimwita namwona kweny maisha yangu tena kwa ukubwa mno, akendeleza tararira zake pale baada ya kuona hana hoja akasema tumshukuru Mungu, nikaona mambo yasiwe mengi akaomba hata dakika mbili hazikuisha ila kama sio nilikaza nahisi angenieke mapepo yeye maana anakuona we mchafu ye msafi
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu
Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
 
nimecheka hapo pakuonyeshwa na Mungu huwa wanacheza na saikolojia tu, hafu wanapenda waumini wanaotoa sana sadaka ka Bibi yako anavo wawekea mafuta lazima wawe wanakuja tena wanaweza mtabiria kuwa analogwa sana wawe wanakuja kumuombea daily, Kuna sehemu flani ya pastor bonge anapenda kuhubiria sana wadada single Ili waolewe Sasa huyo dada alikuwa hapati mimba akamtabiria kuwa huko tumboni Kuna chatu ndio anazuia mimba, dada alipiga ukunga akadondoka chini kwa nguvu na kuumia
 
Hahaha, haya matisho ndio huwa mnawapa wanawake na wengine wadhaifu wa kiroho ili mpate pesa zao.

Mimi nilihusika kuanzisha Safina Radio, nimehudumu pale for years ukitaka ushahidi utapata

Kuna mambo mengine sitaki kuyaweka wazi hapa kuhusu Daniel Lema na mama Hellen Lema kwa kuwastahi tu

Ila mkiendelea hivi nitaanza kuanika maovu yao.
Kwamba miaka ya 2006 ulikuwepo kuanzisha safina. Ikawaje mpendwa.. Enzi za kina Neemaa Makae Philemon Rupia
 
Heri uende gym ujenge mwili usife na visukari

sala ni stupid concept...huwezi poteza muda wako kumuomba mtu kitu usiemjua na anaefanya kazi kwa probability...yaani umeomba vitu kumi there is no way atatimiza vitu vyote 10 kwa rate ya 100% accuracy

ni kupotezeana muda muhimu wa reality ya maisha
Sie tunaoomba Mungu tunaomba utuache. Though hizo safina na nn sjui hatuhusiki lakini hayo mambo ya kusema probability ni kwa sababu hujui tu. Gym tunaenda na kusali tunasali
 
Back
Top Bottom