Radi ya Maajabu yapiga Tanga, TMA toeni Taarifa

Tembea uone maajabu Radi ya buku 2 tu unasema maajabu Tanga urojo urojo San njoo kigoma uone Radi njoo Ruvuma Nyasa uone Radi Radi inapiga mpaka samaki akitoka ziwani ameiva unakula tu
 
Upward Lightning​

The most important finding about upward lightning is that it primarily occurs when there is a nearby positive cloud-to-ground flash. The electric field change caused by the preceding flash causes an upward positive leader to initiate from a tall object such as a building, tower or wind turbine. The shape of the tall object and the resulting enhancement in the electrical field makes it possible for an upward leader to form following a nearby flash. Tom and his colleagues call this lightning-triggered upward lightning, and the upward leader would not develop if the tall object were not present.

Radi zote ndiyo zinakuwa hivyo?

Sasa mbona hii nayo inaanza kwa kusema

"The most important finding about upward lightning is that it primarily occurs when there is a nearby positive cloud-to-ground flash." ?
 
Ngoja kesho asubuhi nipige simu huko muhenza nitawaletea majibu. Naona taharuki ila mpaka sasa hakuna anayetoa jibu
 
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.

Mamlaka haifanyi kazi kwa tetesi
 
Niliwahi kushuhudia radi ilipiga kiangazi kijiji kimoja wilaya ya Tandahimba akafa mwalimu mmoja...baba yangu huwa haamini mambo ya uchawi ila kwatukio hilo alianza kuwa na mashaka nalo kwasababu haiwezekani mwezi wa 8 kwa mtwara ni kiangazi halafu ipige radi moja tu na ikatoka na mtu,kwasababu baadhi ya mashuhuda walidai kuona kitu mithili ya panya buku anashuka juu ya mti akatoboa ukuta kwa kasi sana na kumpiga mwalimu ambae alimbeba mtoto mgongoni na yule mtoto hakudhurika kabisa
 
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.
Kwani Bado kuna mvua??
 
TMA inadili kweli na radi? unaweza predict radi?
 
Hiyo ni radi tuu imezusha taaruki, watu wanakimbia na wengine kuanguka mitaroni.

Je ingepulizwa tarumbeta ya Parapanda ingekuwaje ?!

Nacheka kama mazuri.
 
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.
Wewe ujakaa sumbawanga au lyambalya mfipa usingeongelea hako karadi kadogo
 
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.
TMA nao ni bunadamu. Ama unadhani ni malaika
 
Kuna mdada mmoja maeneo ya karibu na hospitali teule huwa anakula sana nauli zetu sisi mafala. Ajirekebishe.
 
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.
Unaweza Kuta Kuna mawingu kiasi Kwa mbali lakini miungurumo ya radi inakuwa mikubwa sana.

My Take: Huwa mnawabeza TMA kwamba wanabeti mbona Sasa unawalalamikia?
 
Amini usiamini,radi za kutengeneza zipo, mahidi ya aina fulani hukaangwa kwa mchanganyiko wa madawa, likipasuka moja ni radi inalenga sehemu.
 
Kuna radi ilipiga DSM mwaka 2021.
Nyingine ilipiga Kigoma.
Nilisimuliwa na watu waliozoea radi kwamba kwa miaka zaidi ya 30 hawakuwahi kusikia kama hiyo.
 
Back
Top Bottom