Radi ya Maajabu yapiga Tanga, TMA toeni Taarifa

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Maeneo mengi ya Muheza Tanga kumepiga Radi ambayo Mimi na umri wangu wa Zaidi ya miaka 30 sijaishuhudia.

Radi hii imezua Taharuki ya kupelekea watu kukimbia hovyo barabarani na wengine kuanguka mitaroni na wengine kukimbilia kwenye majumba na maduka ya watu.

Radi hii imepiga majira ya saa mbili usiku na isitoshe huu ni msimu wa kiangazi na jua ni kali.

Wakazi wa Muheza Tanga ni Taharuki kila mtu anampigia ndugu yake simu kama yuko salama.

Tunaomba Mamlaka ya hali ya hewa watoe Taarifa kuhusu hii radi.
 
Huko Tanga ni kiangazi kumbe,!
 
Back
Top Bottom