Raba mbaya kama hii eti $ 98

umenikumbusha mbali sana 2nd yr kipindi hicho marketing management
 
Waliomuuzia nao walifanywaje? What if nikisema sijui tofauti ya feki na og?
 
Mkuu RGforever , Ondoa kusema "masikini ndio tulivyo" Mimi naongelea ubaya wa kiatu kilivyo na bei ilivyo angalau kwa bei hiyo tungeona hata kiatu cha maana.

Au macho yangu mabovu?
Lkn ubaya uko machoni pa mtu bro. Hio raba iko mwake kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…