R.I.P Neema

Inasikitisha sana, pole. May her soul continue to rest in eternal peace.
Siku yule jamaa yako akifa utasononeka sana...

Bahati nzuri ni kuwa wote tutakufa afu mbele ya Mungu hakuna cha mtoto wa mwanadamu aliyependwa sana...

Kitakuwa kilio cha kusaga meno...

Ole wao waliotumia mamlaka yao vibaya... Ole wao wanaounga mkono udhalimu.
 
Irie man,peace and love,,give thanks and praise to the Lord,wale maras pale Pepsi bado wapo na wanaendeleza kazi ya amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, na hongera sana kwa kujitolea kwako Mungu ni mwema siku zote nawe atakufadhili, ulifanya kwa nafasi yako huo ndio ubinaadamu haswa na hitaji letu kubwa ni upendo na kujaliana bila ubaguzi wa aina yoyote,
Neema Mungu ampumzishe kwa amani.

Love is all what we need!
 
Mie nimejifunza jambo kubwa sana na hakika Mungu amekuwekea hazina ya matendo yako mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu na hongera kwa kuwa na moyo wa kusaidia hata wale usiowajua. Dunia hii ya leo ni nadra sana kusikia watu kama wewe maana wengine hawataki hata kusaidia ndugu zao wa karibu achilia mbali watu wasiowafahamu hata kama wana uwezo wa kufanya hivyo.

Nimeisoma yote hii Mkuu na wala hukunikwaza na ahsante sana kwa kushare nasi.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Neema mahali pema peponi, Ameen.

 
PEACE AND LOVE SELASSIE I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…