R.I.P.Madiba lakini... !

R.I.P. MANDELA. Winne alikuwa wa pili. Wa kwanza naye ni kama alipigwa down. Acha wa kimila aliyemkimbia huko vilage. Na hatimaye craca. Winne ni mwanamke shujaa hata hivyo.
 
In short wanaume huwa hawaridhiki na hawajui wanataka nini. Madiba alimwacha Evelyn coz hakupenda mambo ya siasa na alimwambia Madiba achague between yeye na watoto au ANC. Mzee akachagua ANC. Akampata Winnie mpenda siasa. Bado nae akaachwa..
 
Mandela hakuwa amefanya mafungamano ya kinyumba na wazungu,uhasama na ushahiba wa Mandela na hawa mabwanyenye ulitokana na siasa. Mandela alikuwa na fungamano la kimwili na Winnie of whom aliteleza kusimamia ahadi pamoja na mengi mazuri aliyofanya...kwa kuwa Bi Winne alitenda haya Mandela angali hai ,hata ingalikuwa mimi sikua na budi kuchukua hatua ya kiume aliyochukua Mzee Madiba! Niungane na wanaume wengi duniani wanaosema hapana kwa usaliti kumwombea dua njema Mzee wetu Madiba!
 

Bila ya kujali miaka 27 aliyopigania harakati za mumewe kutoka gerezani, pamoja na kufungwa mara kwa mara? Wakati mwingine sisi wanaume ni wabinafsi na opportunist. Kama aliweza wasamehe wazungu wsliofanya dhuluma, kweli alishindwa msamehe mkewe ?
 
In short wanaume huwa hawaridhiki na hawajui wanataka nini. Madiba alimwacha Evelyn coz hakupenda mambo ya siasa na alimwambia Madiba achague between yeye na watoto au ANC. Mzee akachagua ANC. Akampata Winnie mpenda siasa. Bado nae akaachwa..

hehehe so mapenzi kwa madiba ni night mere enh!

rip tata madiba.
 
Jawilat I think


Wanawake wameumbwa na roho ya huruma


Wewe huwezi kusamehe??

sidhani kama wanawake wanasemehe ni watu wa vinyongo, ndio maana tunaona wana roho mbaya, chuki kuwasema waume vibaya na mengineyo!
 
Last edited by a moderator:
Bila ya kujali miaka 27 aliyopigania harakati za mumewe kutoka gerezani, pamoja na kufungwa mara kwa mara? Wakati mwingine sisi wanaume ni wabinafsi na opportunist. Kama aliweza wasamehe wazungu wsliofanya dhuluma, kweli alishindwa msamehe mkewe ?

That's the point
 
WINNIE nae angevumilia tu,maana alikuwa na uhakika kuwa mwenzake huko hapati tendo la ndoa,alishindwaje kuvumilia?hata kama ingekuwa miaka 50
 
sidhani kama wanawake wanasemehe ni watu wa vinyongo, ndio maana tunaona wana roho mbaya, chuki kuwasema waume vibaya na mengineyo!

aisee hili nalikataa kwenye ndoa nyingi wanawake ndo wanaotoa misamaha,
 
Bila ya kujali miaka 27 aliyopigania harakati za mumewe kutoka gerezani, pamoja na kufungwa mara kwa mara? Wakati mwingine sisi wanaume ni wabinafsi na opportunist. Kama aliweza wasamehe wazungu wsliofanya dhuluma, kweli alishindwa msamehe mkewe ?

alimsamehe na akatengana nae bila kubaki na kinyongo. Kwa mila za kina Madiba ukifika level ya kuheshimika kama Madiba mkeo akikusaliti wakati upo nae(kumbuka aliendelea kumsaliti hata baada ya madiba kutoka jela) ni lazima umuache ili uendelee kuheshimika.
Madiba alivyotoka jela umri ulikuwa umeenda, nguvu zilikuwa zimepungua, Winnie alikuwa bado ana nguvu.
Kama unakumbuka, Madiba alifurahi ilivyogunduliwa viagra. Winnie alikuwa ameshazoea mchakamchaka wa damu changa.
 

Ni kweli Yaani ni kama aliwasamehe na kuwakumbuka wengine kwa makosa makubwa, lakini akaisahau familia yake kutokana na kosa dogo sana ukilinganisha na yale aliyoweza kuwasamehe wengine.
 
aisee hili nalikataa kwenye ndoa nyingi wanawake ndo wanaotoa misamaha,

Wanasamehe midomoni na wanaendelea kuishi na waume zao ila rohoni ni watu wa vinyongo sana, na ndio maana usishangae kumkuta mwanamke yuko saloni anaita mume wake limbwa au anamsema vibaya kwa watu. au unakuta hata ndugu za mme anawachukia ile mbaya, nimeona hii kwenyeukoo wetu, babayangu mdogo mke wake aligundua anacheat ila huyu mama alikuwa na upendo sana the moment alivyogundua mme wake anacheat kamsamehe lakini hata sisi ndugu tunamuogopa maana amebadilika kabisa unaweza ukaenda hata maji asikupe. yaani yupo yupo tu tunahisi hajasamehe mpk moyoni kwake. kuna watu walimshauri wadivorce kakataa ila ndio hivyo hata bamdogo mwenyewe anajua hapendwi tena. wanaishi kwa sababu ya watoto tu. it is bad.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…