R.I.P Halima Rajab

Pole blue na watu wako wakaribu wote,tunajua jinsi gani ulikuwa unampenda mama yako.
 
Kila nafsi itaonja mauti...pole Blue ulimpenda sana mamako masikini!
 
Nini kilikua kinamsumbua hadi kupelekea kupoteza maisha yake?
 
Rip mommy
may god rest your
soul in peace
pole kabaisa!
Ww ulimpenda mama
ila mungu kampenda
zaid!
Mungu akupe nguv katika kipindi hiki
kigumu sana kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom