Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,651
Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
ZAIDI SOMA:
www.jamiiforums.com
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
ZAIDI SOMA:
Msaada: Dada yangu anaangamia kwa ugonjwa Saratani ya Ini, damu na titi
Ndugu zangu, Nipo/ tupo katika kipindi kigumu sana kama familia, dada yetu aligundulika kuwa saratani ya Ini, damu na titi. Vyote hivyo vipo katika stage ya mwisho na mbaya sana na Madaktari wametupasha kuwa hakuna kitu wataweza kufanya kunusuru uhai wa ndugu yetu. Mioyo imejawa na simanzi...