google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Mungu awape wepesi katika kipindi hiki kigumu
Poleni sana mkuu, Apumzike kwa amani dada yetu.Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
Hivi haya ni maneno ya kumpa mtu aliyeondokewa na dada yake kipenzi??kubaki moyoni sio kweli uongi kama ana watoto wachukue uwasomeshe,uwalee nk kubaki moyoni ndio nini?
kama alikuwa na mali wapeni zote watoto msizisogelee wala kuzitumia Hiyo ndio maombolezo ya kweli hayo mengine utapeli mtupu
hakuna kitu kuna ndugu hulia sana misibani msiba ukiisha wanapora mali za wafiwa wawe watoto.mke wa marehemu nk Mimi huwa sihangaiki kuangalia nani analia sana msibani naangalia baada ya msiba nani ana uchungu na waliobaki wawe watoto nk na kama ana uchungu nao wa kuwasaidia bila dhulumaHivi haya ni maneno ya kumpa mtu aliyeondokewa na dada yake kipenzi??
Leo nimekuona wa hovyo sana.
Huna ubinadamu hata kidogo.
Wanazuoni walipata kutafsiri maana ya neno HEKIMA.
HEKIMA ni kulifanya jambo:
1. Lifaalo
2.Wakati ufaao
3.Na kwa njia ifaayo
Maneno uliyoyatoa hapo juu hayana utu wala hekima
Maneno yako umeyatoa
-Wakati usiofaa(wakati punde tu baada ya kuondokewa na kipenzi chao.
-Maneno yasiyofaa manake sio ya kumfariji mfiwa.
-Njia uliyotumia tu sio ya kiutu wala kiubinadamu.
Umenihuzunisha na kunifedhehesha sana na maneno yako ya hovyo.
Nimekudharau sana..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sanaNi huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
Mkuu alileta uzi kule jukwaa la afya kuhusu tatizo la dada yake akiomba kusaidiwa kama kuna namna wanaweza wakaokoa uhai wa ndugu yake ambapo hadi wakati huo madaktari walishasema kuwa ni vigumu kwa yeye kupona. Leo ndugu yake ametangulia mbele ya haki, mkuu ameamua kututaarifu kama sehemu ya mrejesho wa uzi alioupandisha karibuni, kwa sababu bila kufanya hivyo angeendelea kupokea maoni ya watu humu namna ya kumsaidia ilhali mgonjwa alishafariki. Hayo mambo ya sijui matunzo ya watoto ni mambo ya kifamilia, au unataka aanze kuandika hapa kuwa nitafanya hivi, nitafanya vile!? Binafsi naona hakuna sababu ya kuanzisha mjadala na mtu ambaye ametokwa na ndugu yake punde, huwezi jua yupo katika hali gani kihisia.hakuna kitu kuna ndugu hulia sana misibani msiba ukiisha wanapora mali za wafiwa wawe watoto.mke wa marehemu nk Mimi huwa sihangaiki kuangalia nani analia sana msibani naangalia baada ya msiba nani ana uchungu na waliobaki wawe watoto nk na kama ana uchungu nao wa kuwasaidia bila dhuluma
mtu aweza tungua kilio cha unafiki msibani .Hili siombi msamaha.Je hao aliowaacha huyo dadaaake ana mpango gani nao wa kuwasaidia kama ana uchungu kweli?
Pole sana ndugu.Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
mtu akifariki watanzania tusipokuwa na tabia ya kupeana madongo live wafiwa wataendelea kudhulumiwa foreverMkuu alileta uzi kule jukwaa la afya kuhusu tatizo la dada yake akiomba kusaidiwa kama kuna namna wanaweza wakaokoa uhai wa ndugu yake ambapo hadi wakati huo madaktari walishasema kuwa ni vigumu kwa yeye kupona. Leo ndugu yake ametangulia mbele ya haki, mkuu ameamua kututaarifu kama sehemu ya mrejesho wa uzi alioupandisha karibuni, kwa sababu bila kufanya hivyo angeendelea kupokea maoni ya watu humu namna ya kumsaidia ilhali mgonjwa alishafariki. Hayo mambo ya sijui matunzo ya watoto ni mambo ya kifamilia, au unataka aanze kuandika hapa kuwa nitafanya hivi, nitafanya vile!? Binafsi naona hakuna sababu ya kuanzisha mjadala na mtu ambaye ametokwa na ndugu yake punde, huwezi jua yupo katika hali gani kihisia.
Mkuu unaloongea Ni kweli lakini labda TU umeongea katika wakati usio stahili,,nazani ulikua Ni wakati wa POLEhakuna kitu kuna ndugu hulia sana misibani msiba ukiisha wanapora mali za wafiwa wawe watoto.mke wa marehemu nk Mimi huwa sihangaiki kuangalia nani analia sana msibani naangalia baada ya msiba nani ana uchungu na waliobaki wawe watoto nk na kama ana uchungu nao wa kuwasaidia bila dhuluma
mtu aweza tungua kilio cha unafiki msibani .Hili siombi msamaha.Je hao aliowaacha huyo dadaaake ana mpango gani nao wa kuwasaidia kama ana uchungu kweli?
hakuna cha kusingizia ohhh hekima noooooooo!
ohhh faraja!!!!
sihitaji heshima misibani sigombei uenyekiti wa msiba nile hela ya rambi rambi