Poleni sana mkuuNi huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
Poleni sanaNi huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
kubaki moyoni sio kweli uongi kama ana watoto wachukue uwasomeshe,uwalee nk kubaki moyoni ndio nini?Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
kama aliacha watoto hawahitaji sala wanachohitaji ni wakiobaki kuwahudumia na wasiwadhulumu cha mama yaoPoleniii thana ndugu zetruu Mwangaa wa milelee umwangaziee ee BWANA
Don't make a promise you can't fulfill...
pole sana mkuu, vipi ni yule uliyeleta uzi juzi juzi mkuu kuhusu dada yako kuugua cancer?Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!