hahahahahaaa
Waaao swthrt!
Kuna watu wanachooooooonga siwataji ( mimisa na Passion Lady )
Eti tunapendana sana lol
I love you sana Chocs wangu
Hahahahaaa yan hapa nawaza ntakupataje maana naona ushaanza kujunguka na utajifanya kunikataa tu.
Ila hakuna noma sina mpango wa kuongeza mwingine zaidi ya hili jeshi!
Hahahahahaaaapana kinasio chako hapa hakitafanya kazi...we ongezea idad tu,kutoka kwigne
??????????:doh::doh::tape2::tape2::tape2::tape2::noidea::noidea::noidea: me:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:much!!
nitatambua wangapi kwa kweli huyu tunyamaze tu kimya tusiseme nyumbani lol umemwona KakaKiiza hapo juu eti kafurahia kumbe umemng'ong'a heheheheheh toka nimemwacha keshaachika mara mbili!!!Haya ndio maana nakupenda my beloved sister
Haya tulia sasa!
Mi nimejituliza na kuanzia sasa mtambue Chocs kama wifi yako wa pekee!
Ehee bebe yani inamaana umenimwaga??sijielewi naona!sikuachika nimemwacha sina historia yakuachwa huwa naacha mwenyewe