Quote of today

akija atakuta tushamaliza hamna shida
Halafu mimisa ujue unanitafuta ubaya ooooh
We nichokoze hujui nina jeshi la madada wa ukweli wenye uwezo wa kukunyofoa kifanyio bila ganzi ooooh
Mwambie na Passion Lady asichezee hili bomu...hajui b52 ni noma aisee likilipuka hakuna kinachobaki hadi mlipuaji hahahahaaaaaa
Majungu yamewajaa tu namshauri Mr Rocky awaoe ili mjenge Majungu family
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ss adi wananinyofoa nawaangali ivi ivi tu kwa macho yangu?...alafu ss tulikua tunahesabu idadi tu..kwani kosa?..eti,una kinasio Erickb52
 
Last edited by a moderator:
kwa jeshi hilo hakika nimeamini una kinasio..na apo nahc idadi itaendelea kuongezeka
 
Hivi Erickb52 siku yako haitaisha bila kunitaja kwenye majungu yako
Sasa huku kwa mimisa mimi nimetoka wapi
Namtafuta mtu wa kukugandisha au kukikata kifanyio chako uone panya anacho kwenye paa la nyumba yako
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwa jeshi hilo hakika nimeamini una kinasio..na apo nahc idadi itaendelea kuongezeka
Hahahahaaa yan hapa nawaza ntakupataje maana naona ushaanza kujunguka na utajifanya kunikataa tu.
Ila hakuna noma sina mpango wa kuongeza mwingine zaidi ya hili jeshi!
 
Hivi Erickb52 siku yako haitaisha bila kunitaja kwenye majungu yako
Sasa huku kwa mimisa mimi nimetoka wapi
Namtafuta mtu wa kukugandisha au kukikata kifanyio chako uone panya anacho kwenye paa la nyumba yako

heheheheee,usimkate bana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…