Question- wasukuma and Love relations


Kwanza asilimia kubwa unatakiwa uwe mweupe, halafu uwe tayari kuletewa
 
Tanzania kuna muingiliano mkubwa sana wa makabila from 1961 mpaka leo. Makabila mbalimbali yameishi pamoja na kudiffuse many of their characters.
Mambo ya tabia za makabila siku hizi hayana implementation kihivyo...LABDA KAMA UNATAKA KUOLEWA NA BUSH BOY...ambaye utamtoa huko usukumani ndaaaaani kabisa.
 

Wanajua kupenda na kucare lakini wana uhuru wa kuoa zaidi ya mke mmoja na bado wakabalance pendo. Kwao michepuko ni asili, hivyo ikitokea anachepuka usifikiri kuwa amebadili tabia. Kwa upole ndio wenyewe.
 

U want to know the beauty of the beast huh! Come dance with it...!
 
Kwa kweli mawifi wa kinyantuzu wakkikuweka kwenye kundi 'unaharibu mbegu za ukoo', utajuta.

Ni 'wadoshi' haswaa.

Kama ni mweusi tii, afu wao weupe unalo.
Ila kama kaka anakupenda tabu iko wapi

 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mawifi wa kinyantuzu wakkikuweka kwenye kundi 'unaharibu mbegu za ukoo', utajuta.

Ni 'wadoshi' haswaa.

Kama ni mweusi tii, afu wao weupe unalo.
Ila kama kaka anakupenda tabu iko wapi

Ndo nini sasa kuwananga dada zangu bana...?

Bariadi oyeeeeee
 

Katika makabila hawa wajita,wahaya,waha, aisee sijawahii na naomba isitokeeee kabisa siwafagiiliii kabisaa
 

Nahene. Chagulaga nene
 
"Am on that on to the next one part jamani"
Sijaambulia kitu hapa!!
 
Nahene. Chagulaga nene

Sibonike na 'ungosha' wapi na wapi wewe nenda kaoe wanyaki wenzio wenye roho nyeusi kama sura zenu!
Na kwa taarifa tu ni kwamba msituone wazuri wa roho na kujua kupenda tu, bali tumejaaliwa nguvu za kutosha na migegedo iliyoshiba misuri lol!
Mi tangu nianze kuwagegeda 100% huishia kuusifia mgegedo wangu eti mtamu!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…