Question- wasukuma and Love relations

Very true, kumbe ndio maana naambiwa nimetumia limbwata???!!:shocked:

He he he, ulivuka mstari wake, sasa ushasikia ana ukurya ndani afu unaulia nini?

Lakini 6*6 ilikuwaje, be honest jamani:nod::nod::nod:

i second yu mkuu...sasa mie nlipata chotora la kisukuma...na mkurya! Dah nliona chuo kgumu pale saut...maana kuna siku alinipga keleb nusu niteme meno aisee..hawa watu hatar
 
Sasa wewe unaogopa nyumba ndogo? Kwania anaondoka nayo? Issshhhiiiii!!!!!!

Kwani hakuna ambao hawajaoa? Halafu tumesikia wanapenda michepuo, tena kwao ni kawaida sana, ni kweli?
 
Sasa wewe unaogopa nyumba ndogo? Kwania anaondoka nayo? Issshhhiiiii!!!!!!

Shida ipo hapo sasa! Utamu wenu woote hauna faida kama ni WAZINZI kiasi cha kuhalalisha Nyumba ndogo!
 
Shida ipo hapo sasa! Utamu wenu woote hauna faida kama ni WAZINZI kiasi cha kuhalalisha Nyumba ndogo!

wasukuma weng 2na nguvu nyingi za kiume kutokana na lifestyle ya kiasili[i.e chakula] ambayo haibadilk sn ht km 2kichangamana na jamii zngne..,ww m1[mke] tu,gwaride ktanda huwez kulihimil cyan6,m2vumiliage kwa hlo..upendo kwa mke hubak pale pale2 bibie\
 
Ngumu kumesa! Nitakupikia chipsi mayai ili kupunguza nguvu za kwenda nyumba ndogo
 
Haramu roma, halali makkha, kama unajua nachomaanisha.
Faida katika mapenzi ni subjective saana.

Shida ipo hapo sasa! Utamu wenu woote hauna faida kama ni WAZINZI kiasi cha kuhalalisha Nyumba ndogo!
 
Ngumu kumesa! Nitakupikia chipsi mayai ili kupunguza nguvu za kwenda nyumba ndogo

hahahaha..,afu zikipungua uanze kuning'ong'a.., mwanaume suruari,we jitahid kuendanana na mzik wng cyan6..,ntakundsha mazoez ya kuongeza pumz mchezon
 
Sio kweli..wengi ni madomo zege hivyo akibahatika kuwa na mahusiano lazima ang'ang'anie kwani kwake kuanzisha mahusiano mapya ni shida.
 
hahahaha..,afu zikipungua uanze kuning'ong'a.., mwanaume suruari,we jitahid kuendanana na mzik wng cyan6..,ntakundsha mazoez ya kuongeza pumz mchezon

Nitabalance menu ili usiende Nyumba ndogo kwa kisingizio nguvu zimekuzidi!
Shida yangu ipo hapo! mi mayai yangu yote nimeweka kwenye kikapu kimoja, we mwenzangu yako yapo kwenye makapu tofauti tofauti! Hapana aisee! kama mazoezi nipo tayari kufundishwa
 
Aiseee! Kumbe wasukuma wamejaa JF namna hii? Sikutegemea kama wapo wengi kiasi hiki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…