Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Sifa zote muhimu kama zipi?
Lol...ushabiki utakutoa macho mwaka huu!
Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled
And a bonus, a bundle of joy; a kid
Sifa zote muhimu kama zipi?
Lol...ushabiki utakutoa macho mwaka huu!
Gaijin nimekupenda ghafla,asante.
Mpole, mnyenyekevu, msikivu! In short mtoto katulia, go ahead Mr.,.mie pia nakuweka kwenye maombi jioni ya leo, hivyo jihesabu ushampata kwini kami!Sifa zote muhimu kama zipi?
Lol...ushabiki utakutoa macho mwaka huu!
Mr Mikael karibu
inawezekana yupo busy kwa sasa
asipojitokeza hapa mtumie Private message
nakutakia mafanikio mema
Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled
And a bonus, a bundle of joy; a kid
Khaaa Mr. Mike ana bahati, yuko kwenye timu ya ushindi tayari...Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled
And a bonus, a bundle of joy; a kid
Asiwe na shaka! I have the Queen's ear.
Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled
And a bonus, a bundle of joy; a kid
mkuu naona unazidi kunipa matumaini.
Kweli kabisa, mtafute binti alipo aje atuwezeshe tupige vigelegele!Khaaa Mr. Mike ana bahati, yuko kwenye timu ya ushindi tayari...
Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled
And a bonus, a bundle of joy; a kid
You are the crème de la crème!
mwanaume kazini!! safi mkaka sema yoote ya moyoni!!!
hujakosea,asante kwa ku-summarize Gaijin.
Khaaa Mr. Mike ana bahati, yuko kwenye timu ya ushindi tayari...
Halafu hiyo bonus Gee nimeikubali sana!
Hiyo bonus ndo mpango mzima, hata Mimi naitamani sana
Aisee....tutaomba pamoja ikibidi tufungeMpole, mnyenyekevu, msikivu! In short mtoto katulia, go ahead Mr.,.mie pia nakuweka kwenye maombi jioni ya leo, hivyo jihesabu ushampata kwini kami!