SueIsmael
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 932
- 1,283
Then it's not nature, is it? or is your man the anomaly in the equation?Womanizer by nature except my man![]()
Then it's not nature, is it? or is your man the anomaly in the equation?Womanizer by nature except my man![]()
Utani wa ngumi huuKuna mwanamieleka anavaaga hivi..
Niruhusu nimtagChupi kubwaa kama la Le Mutuz..

uyo naye ana wazazi ati.![]()
Katika ubora wake![]()
Queen Darlin alianza kitambo kabla ya Kiba kama unakumbuka albam ya Historia ya kweli ya Dully mle ndani kuna sauti ya Queen Darlin lakini kama yeye hakuweza kutoka mpaka ile Colabo na Kiba. Mwenyewe alishawahi kukiri kuhusu ile kolabo Kiba alimsaidia mpaka kuandikaQueen darlin na kiba nani mkongwe kwenye game
Nimeshamjibu haya come againAkikupa jibu sahihi nishtue,maana tokea yaanze kufuata mkumbo wa kumshabikia kiba,basi kila kitu wanadandia hata wasivovijua ili mradi na yenyewe yamekomenti.
Tuwekee hiyo clip akikiri kuwa alipewa msaada na kiba,kinyume na hivo we ni mzushi tu.Queen Darlin alianza kitambo kabla ya Kiba kama unakumbuka albam ya Historia ya kweli ya Dully mle ndani kuna sauti ya Queen Darlin lakini kama yeye hakuweza kutoka mpaka ile Colabo na Kiba. Mwenyewe alishawahi kukiri kuhusu ile kolabo Kiba alimsaidia mpaka kuandika
Ndio yupi hapo sasa!?![]()
Katika ubora wake![]()
Unataka nikapekenyue interview za miaka hiyo? Haya tuseme hakusaidiwa kuandikiwa bali alisaidiwa kuimba, vipi huo nao sio msaada? Acheni mambo ya utimu mtoe credit panapohusika, Kiba aliplay part kubwa sana kumng'arisha yule dada katika ile ngoma kuanzia audio mpaka videoTuwekee hiyo clip akikiri kuwa alipewa msaada na kiba,kinyume na hivo we ni mzushi tu.
Weka clip akikiri kusaidiwa na kiba,iwe kuimba au kuandikiwa kinyume na hapo wewe ni mzushi ..........??Unataka nikapekenyue interview za miaka hiyo? Haya tuseme hakusaidiwa kuandikiwa bali alisaidiwa kuimba, vipi huo nao sio msaada? Acheni mambo ya utimu mtoe credit panapohusika, Kiba aliplay part kubwa sana kumng'arisha yule dada katika ile ngoma kuanzia audio mpaka video
Inaonekana upo kiushabiki zaidiWeka clip akikiri kusaidiwa na kiba,iwe kuimba au kuandikiwa kinyume na hapo wewe ni mzushi ..........??
Wewe ambaye HAUKO kiushabiki weka hiyo clip unizodoe ???Inaonekana upo kiushabiki zaidi
Utadhani anatumbo la kuhara! Kama kuna kitu hivi anazuia kisishuke





asante jf Huhitaji clip kujua kama Darleen alisaidiwa na Kiba miaka ile unless kama una kitu against Kiba hutaki kumpa credit anazostahiliWewe ambaye HAUKO kiushabiki weka hiyo clip unizodoe ???