Queen Darleen buana..

Queen Darleen buana..

Huhitaji clip kujua kama Darleen alisaidiwa na Kiba miaka ile unless kama una kitu against Kiba hutaki kumpa credit anazostahili
Kwani credit kitu gani bhana......we weka udhibitisho,kisha uone kama sijampa ili mradi iwe kweli tu,haya niwekee udhibitisho hapa kwamba kiba alimsaidia Darlin kwa kuimba au kwa kumuandikia .......??
 
Wimbo wa Darleen ft Kiba.
Wajua Nakupenda.
 
Kwani credit kitu gani bhana......we weka udhibitisho,kisha uone kama sijampa ili mradi iwe kweli tu,haya niwekee udhibitisho hapa kwamba kiba alimsaidia Darlin kwa kuimba au kwa kumuandikia .......??
Mkuu inaelekea kipindi hicho hukuwepo au kama hukuwepo ulikuwa hufuatilii ndo maana unaulizia vitu ambavyo viko wazi. Anyway labda tu nikuambie kuwa hiyo clip sina lakini kipindi hiyo ngoma inatoka around 2007 katika moja ya interview alizowahi kufanyiwa kipindi hicho Darleen alikiri kuwa Kiba alimpa tafu sana katika kuandaa hiyo ngoma, yeye alikuwa na idea kaipeleka kwa Kiba wakakaa na kuanza kuandika hiyo ngoma. Hilo neno unanihanda kama sijakosea alisema alilisikia Uganda.
 
Basi poa kama umekubali kuwa udhibitisho wa hiyo clip HUNA,haya kazi njema na siku yako iwe ya amani na baraka tele.
 
Tuwekee hiyo clip akikiri kuwa alipewa msaada na kiba,kinyume na hivo we ni mzushi tu.
Labda kama we hujui au ulikuwa chekechea ni kweli kabisa tena walikutana na Kiba mahali kwenye mambo ya kutafuta kurekodi ndio binti akapata idea ya kuimba huo wimbo.Hata kama humpendi Kiba lkn huo ndio ukweli.
 
564ee2f8442f07701e35fec31ddd6bdf.jpg

Katika ubora wake
Bomboclat!
 
Who is queen darlin..??
She's from which country..??
What kind of dress code wear in a stage...??
 
Labda kama we hujui au ulikuwa chekechea ni kweli kabisa tena walikutana na Kiba mahali kwenye mambo ya kutafuta kurekodi ndio binti akapata idea ya kuimba huo wimbo.Hata kama humpendi Kiba lkn huo ndio ukweli.
We nawe umetokea wapi .......Subiri isimame ndio udandie,sio kabla haijasimama hutofaidi mtoto wakike. Kukuonyesha kuwa umedandia,fuatilia malumbano yetu na huyo jamaa,kisha ndio utajua tatizo liko wapi ......Kisha wewe malizia alikoshindwa huyo jamaa.
 
Peleka chuki zako huko una kazi ya kusambaza chuki kwa Kiba alikufanya nini? waache vijana wafanye kazi na maisha yao sie wazalendo tunawapenda wote hatuna sababu ya kumchukia yeyote.
 
Back
Top Bottom