QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

Mimi kinachoniumiza hapa ni kwamba yaan yoote ninayofanya mm ni only 2% natumia??
 
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"

This statement has an iherent contradiction.
sawa sawa nakubaliana nawew mkuu lakini ungetumegea kidogo ulichonacho
 
Nadharia, fiction, drama, movie, tamthilia, igizo. Chagua jina lolote litafaa.
 
Izo ni nadharia tu pia binadam anatumia asilimia zte ktk ubongo wake labda mtu asieona au hatembei ndo kias fulan hakifanyi kaz
 
Hakuna mtu anaeogopa kifo kama putin. Yeye kazi kuua adui zake.

Toka corona ipo hatoki ana jengo maalum kuingia ofisini imetengenezwa corridor mvuke unampuliza kuua vijidudu ndio aingie job. Na ukitaka kumuona siku 14 karanti. Na hajawai kwenda kokote toka corona ianze mambo yote kwa video. Labda sasa kapata chanjo

Corona ipo russia na kuna baadhi ya watu bado wanasita kupata kinga.
Yeye kama rais kachelewa sana kupata kinga na kadungwa kajificha kwenye chumba baadala ya kuwatia moyo raia kwamba hii kinga ni ya Russia na ni bora kuliko za magharibi yeye kajificha eti hataki kuwaiga akina Biden.

Ikiwa ni pamoja na kutunga sheria ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote kama katiba za Africa na kujiongezea miaka ya kutawala kila msimu. Kesha kaa miaka 26 na anataka agombee tena afie kwenye kiti.

Hakuna cha maana anachouza Afrika zaidi ya pombe ya vodka na Batlika na silaha. Simu ya Russia hazipo huku bongo. Ila kwa kujimwambafai ni hatari. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom