Putin anajishindia uchaguzi kiini macho, msemaji wa Kremlin, Peskov anasema Urusi sasa iko vitani, shambulio la kigaidi linafuatia!

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,626
46,270
Nini kinaendelea Urusi?

Leo Msemaji wa Kremlin bwana Peskov amekiri mbele ya vyombo vya habari kwamba sasa Urusi iko vitani rasmi. Amesema kilichoanza kama oparesheni maalumu ya kijeshi( maarufu kama SMO kwa wafuasi wa Putin) sasa imehamia kuwa vita kamili baada ya West kujiingiza katika mgogoro huo.

Peskov amesema ni muhimu hilo likaeleweka wazi kwa ajili ya kukusanya wanajeshi(mobilization) ndani ya nchi!

Muda mchache baadaye baada ya taarifa hiyo kumetokea shambulio kubwa la kigaidi Moscow!

Pia inaarifiwa kwamba wiki mbili kabla ya tukio la kigaidi leo Moscow ubalozi wa Marekani huko Moscow ulitoa taarifa ya tahadhari kwa raia wake kwa uwezekano wa kutokea tukio kama hili la leo!

Ni wiki hii pia ambapo Putin ameshinda uchaguzi ambao huwa unafanyika tu kama sehemu ya mazoea kukamilisha ratiba na kuendelea kurasimisha utawala.

Wapo watakaosema ni ugaidi wa ukweli, wapo watakaosema ni Ukraine na wapo watakaosema ni false flag operation. Yote kwa yote ni mkanganyiko mkubwa sana unaoendelea huko Moscow.
 
Bila shaka umeshajua kinachoendelea huko Kiev na Odessa.

Sasa inatakiwa mtuambie mnataka tufanye nini ili mjue kuwa sisi ni kina nani.
Kwa kifupi sisi tunaitwa mabwana wa vita au kwa lugha nyingine sisi ni wawekaji upya utaratibu wa ulimwengu au ni waamuzi wa mwisho.

Tutakachoamua sisi, nyinyi hamuwezi kubadlli sababu sisi tunawaamulia hadi mabwana zenu.

Odessa ni yetu kwa namna yoyote labda mjisalimishe ili Odessa ibaki kuitwa kwa jina la Ukrine,vinginevyo Odessa itakuwa sehemu ya Urusi ikiungana na wadogo zake kina mykolaiv na kharkiv
 
Prigozhin
Hivi yule msaidizi wa Putin mwaminifu aliyekufia kwenye ndege aliitwa nani vile?
20230825_184748.jpg
 
Nini kinaendelea Urusi?

Leo Msemaji wa Kremlin bwana Peskov amekiri mbele ya vyombo vya habari kwamba sasa Urusi iko vitani rasmi. Amesema kilichoanza kama oparesheni maalumu ya kijeshi( maarufu kama SMO kwa wafuasi wa Putin) sasa imehamia kuwa vita kamili baada ya West kujiingiza katika mgogoro huo.

Peskov amesema ni muhimu hilo likaeleweka wazi kwa ajili ya kukusanya wanajeshi(mobilization) ndani ya nchi!

Muda mchache baadaye baada ya taarifa hiyo kumetokea shambulio kubwa la kigaidi Moscow!

Pia inaarifiwa kwamba wiki mbili kabla ya tukio la kigaidi leo Moscow ubalozi wa Marekani huko Moscow ulitoa taarifa ya tahadhari kwa raia wake kwa uwezekano wa kutokea tukio kama hili la leo!

Ni wiki hii pia ambapo Putin ameshinda uchaguzi ambao huwa unafanyika tu kama sehemu ya mazoea kukamilisha ratiba na kuendelea kurasimisha utawala.

Wapo watakaosema ni ugaidi wa ukweli, wapo watakaosema ni Ukraine na wapo watakaosema ni false flag operation. Yote kwa yote ni mkanganyiko mkubwa sana unaoendelea huko Moscow.
Prigozhin Fake movies again
 
Kwani Putin alikuwa anashindana na nani kwenye huo uchaguzi? Putin angeshinda hata wasingepiga kura kabisa, iko hivyo.
 
Kuna watu mnapenda ubishi puttin hakuna wakumpinga ndani ya Russia waliompinga na waliojaribu kumpinga wote wameshalamba mchanga akiwemo mkuu wa Wegner.
Sasa sala la kumpinga na suala la kuratibu kila kitu kuna mahusiano gani au wajiandikia tu kama kichaa
 
Bila shaka umeshajua kinachoendelea huko Kiev na Odessa.

Sasa inatakiwa mtuambie mnataka tufanye nini ili mjue kuwa sisi ni kina nani.
Kwa kifupi sisi tunaitwa mabwana wa vita au kwa lugha nyingine sisi ni wawekaji upya utaratibu wa ulimwengu au ni waamuzi wa mwisho.

Tutakachoamua sisi, nyinyi hamuwezi kubadlli sababu sisi tunawaamulia hadi mabwana zenu.

Odessa ni yetu kwa namna yoyote labda mjisalimishe ili Odessa ibaki kuitwa kwa jina la Ukrine,vinginevyo Odessa itakuwa sehemu ya Urusi ikiungana na wadogo zake kina mykolaiv na kharkiv
Eeh hivi tayari Odessa ishatwaliwa kumbe
 
Back
Top Bottom