Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,837
- 6,372
- Thread starter
- #61
kuzuia uchawi usifanyaje mkuuMkuu, pia Kuna kifaa
Putin anatumia
Ni kifaa
maalum chakuzuia uchawi
Pia hii ni
Nadharia...
usimdhuru au???
kuzuia uchawi usifanyaje mkuuMkuu, pia Kuna kifaa
Putin anatumia
Ni kifaa
maalum chakuzuia uchawi
Pia hii ni
Nadharia...
ππ€
"Kila nafsi itaonja mauti, na bila
shaka mtapewa ujira wenu sawasawa
siku ya Kiyama. Na aliyewekwa mbali
na Moto na kuingizwa Peponi, basi
amefaulu; na maisha ya dunia hii si kitu
ila ni starehe idanganyayo"
Qur'an Surah Al-Imraan; Aya ya 185
Ozil nayQUANTUM IMMOTALITY
Wasaalam
kuna mtaalamu alipata kusema
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"
kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini.
Tumejifunza vingi sana kuhusu maisha na vilivyo nyuma ya maisha ya kawaida
Na WAKATI MWINGINE inatakiwa tukubali kuwa kuna NGUVU nyingine inayoendesha na kutawala hii dunia yetu tofauti na ubidamu
Wazungu wamekuwa na michezo ya kutuchezea bongo zetu ,,,,kwa namna mbalimbali na kwa mambo ambayo hatukuwahi hata kuyafikiria
Dan Brown mwandishi nguli wa Vitabu vya fiction alipata kusema fiction nyingi huwa zinapenyeza ujumbe ulojificha
Sasa hapa utaongeza mwenyewe kama utaona kama fiction movies mfano wa movie za marvel nazo ziko kwa njia ya kufurahisha au kuleta na ujumbe pia
Ni wewe na imani zako, kwa sababu imenenwa imani huponya
Vladmir Putin, Raisi wa urusi ni kati ya watu wanaodhaniwa kuwa ni "immortal people" watu wasiokufa
View attachment 1680948
RAISI WA URUSI VLADMIR PUTIN
Ushawahi kusikia nadharia ya QUANTUM IMMORTALITY basi huyu bwana hio nadharia amehusishwa nayo sana
Quantum immortality ni uwezo wa kukwepa kifo hii inahusu uzoefu na uwezo binafsi wa kujua hatari za kifo na kukwepa ni kama inaelezwa pia ni kama kujiua kwa kiasi.
Wazo hili wakati mwingine linafikiriwa kuwa linatumika kwa sababu za ulimwengu ambao sio halisi (huu tuliopo sisi)
Wataalam wengi wanakazia kuwa jaribio au wazo linalohusiana na kukwepa kutokufa halitafanya kazi katika ulimwengu huu wa kweli tuliopo sisi.
Ni vyema ukaenda kwa mtandao kujifunza zaidi kuhusu hio nadharia. (wameelezea hadi namna inavyofanyika)
Watalamu wanoelezea nadharia hii wanasema kuwa watu wa mtindo huu wanauwezo wakutumia asilimia 50% ya ubongo.
ikumbukwe wataalamu wengine pia wana nadharia nyingine isemeyo binadamu wakawaida (yaani mimi na wewe ) tunatumia asilimia 2-1% tu ya uwezo wa bongo zetu
watu ambao wamefanya maajabu makubwa katika ulimwengu kwa gunduzi mbalimbali ,, mfano Albert Eistein, Isaac newton, Hawking na Nikola Tesla inaelezwa ndiyo baadhi waliojaribu kutumia japo aslimia 10%-15% ya bongo zao.
Nadharia hiyo ilienezwa na mwandishi LOWELL THOMAS ,na kuna movie kadhaa zinaelezea nadharia hii...na zimejaribu kuonesha kama binadamu atatumia asilimia 100% ya ubongo wake mambo yatakuwa vipi
Lakini nadharia hio imepingwa na wanasayansi wengi wakiamin kila mtu ubongo wake unafanya kazi kwa asilimia 100%
Putin anahusishwa na nadharia hii kutokana na matendo mbalimbali ya ajabu ambayo anahusishwa nayo
Hata hivyo picha kadhaa zinamuonyesha na kudhaniwa alikuwepo toka mwaka 1920 na alipigana vita ya pili kama mwanajeshi
View attachment 1680952
Na hili baadhi ya watu ulimwenguni huliamini kutokana na Putin kuwa mwanajeshi kabla.
View attachment 1680953
Hatujui chochote kuhusu hii michezo ya wazungu kama ni ukweli au ni drama
TUNAHITAJI DONDOO ZAIDI ....
karibuni
DA'VINCI XV
Ozil naye inasemekana ni immortal!QUANTUM IMMOTALITY

"every fiction movie have secret that have not been told" nauliza tu HOW ABOUT CAPTAIN AMERICA... Tena hakufa alirudi kwenye past lifeSISI TULIOKO CHAMANI TUNACHOWAZA NI KUMUONGEZEA HUYU BWANA MITANO TENA
yule sidhani maana hana rumors nyingi kama za putin nadhani ni mfanano wake tu na EnzoOzil nay
Ozil naye inasemekana ni immortal!
balaaAisee
inafikirisha sana samytimez"every fiction movie have secret that have not been told" nauliza tu HOW ABOUT CAPTAIN AMERICA... Tena hakufa alirudi kwenye past life
IbilisiNi nani aliwafunda watu kudanganya
OK nilitaka nijue tu trend yake imekaaje!yule sidhani maana hana rumors nyingi kama za putin nadhani ni mfanano wake tu na Enzo
kilicholeta utata ni mwaka ambao enzo anafariki ndipo ozil nae anazaliwaOK nilitaka nijue tu trend yake imekaaje!
Ibilisi nae alifundwa nanani.Ibilisi
hata yesu wa nazareth alizaliwa na mwanamke lakini yuko hai mpaka leoMaadam alizaliwa na mwanamke, basi atakufa tu
yule ni hulka yake.....Ibilisi nae alifundwa nanani.
Case ya yesu ni tofauti kabisa na binadamu wenginehata yesu wa nazareth alizaliwa na mwanamke lakini yuko hai mpaka leo
ushawahi kuskia habari za melckzedeck au khizrii????Case ya yesu ni tofauti kabisa na binadamu wengine