Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

Ukitoka airport unapita QC kula ice-cream,tuvute subira patakuwa kama zamani
 
PSSSF sijui NSSF, baada ya kurejeshewa jengo, wamelifanyia nini!?
Hawa si wana vitengo kabisa vya property management, kwanini, hawafanyi restoration na kuanza kukusanya Kodi na kurudisha pesa za wastaafu!?
Huu ni utapeli Kwa pensioners! Sawa na majengo ya Dege eco village! Wizi wizi, majengo wanaishi popo na buibui!?
Hawana uchunguz wamejawa visasi visivyo na tija!
Watu wajinga hamna wanachoweza kufanya kikafanikiwa.
 
watanzania wenyewe walikuwa wanamlalamikia Manji alivyokuwa anatupiga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, akaja jamaa na kuamua kusikiliza kilio cha watanzania na kumfix "gabachori", leo hii watanzania walewale wanalalama huku..
Wanafiki sana
 
ndio tulivyo Wabongo

Chuma alimtenga Jakaya akatukanwa
Mama hajamtenga Jakaya pia anatukanwa
Huyo Magu si ndio alimteua Salma Kikwete bila sababu za Msingi akajae tu kule bungeni kwasababu tu ana nafasi 10 za kuteua wabunge.

Akamjengea na Kikwete jumba la kifahari eti sheria inataka ajengee wastaafu.

Ingekuwa Samia ndiye kamjengea Hilo jumba Kikwete, kelele ambazo zingepigwa hapo Wala watu wangefufuka.

Tatizo kubwa mnoo Tanzania Ni kwamba ordinary people hawana agenda na uwezo wa kusukuma Agenda za matatizo yao hawana, kwahiyo muda wote wanaendeshwa kwa agenda za Genge dogo tu ambalo Vita yao kubwa Ni power struggle.
 
Hiyo mali yote Manji aliyotumia kujenga hapo alichukua kutoka NSSF enzi ya Ramadhani Dau; sina hakika kama huo mkopo ulirudishwa. Kama haukurudishwa maana yake hiyo mali iliyopo hapo inaoza ni ya wafanyakazi waliowekeza makato ya mishahara yao hapo NSSF. Wafanyakazi hawapati mafao yao kwasababu ya ufisadi kama huu uliofanywa na Ramadhani Dau na rafiki yake CAG mstaafu ASSAD wakati huo akiwa Mwenyekiti wa AUDIT committee ya board ya NSSF!
FaizaFoxy njoo utie neno hapa!
 
Habarini wadau,

Nimeangalia huko kwa hii link huko you tube nikaona jinsi Quality centre ilivyo filisika kwakweli.

Vyoo ni vibovu, maduka mengi yamefungwa, jengo asilimia kubwa ni giza. Kwakweli hali ya Quality Centre Mall inasikitisha sana.

Serikali haikupaswa kuiacha ianguke kwa sababu hata kama ni matokeo ya wizi basi kungefanyika utaratibu wa softly payback the funds as win win approach
 
Habarini wadau,

Nimeangalia huko kwa hii link huko you tube nikaona jinsi Quality centre ilivyo filisika kwakweli.

Vyoo ni vibovu, maduka mengi yamefungwa, jengo asilimia kubwa ni giza. Kwakweli hali ya Quality Centre Mall inasikitisha sana.


Acha shobo
 
Unakuwaje na maarifa bila pesa?! Haijawahi kutokea duniani. Ukiona hivo ujue ulichonacho ni maarifa hewa.

Acha izo mkuu, kuna watu wengi tu wana hela halafu maarifa hawana, mfano mdogo tizama wastaafu wengi yanayowakuta. Na pia wapo wenye maarifa ambao hawana hela na hilo pia tukubali.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Acha izo mkuu, kuna watu wengi tu wana hela halafu maarifa hawana, mfano mdogo tizama wastaafu wengi yanayowakuta. Na pia wapo wenye maarifa ambao hawana hela na hilo pia tukubali.
😅😅😅😅. Sasa mtu hadi anastaafu hajawahi kuendesha interprise yake badala yake anawekewa kibubu na mifuko ya pension utamwita ana maarifa? Wacha fujo chifu
 
Watanzania mnapenda na kuendeza sana anasa wakati tunasafari ndefu sana. Whyyyyyy?

So sad
Mkuu, hiyo safari inamuhusu mwenye Pub au huo mgahawa. So inawezekana tunamsapoti kwa kufika eneo husika na kufanya manunuzi
 
Imefungwa siku nyingi Sana 2020 mwishoni nafikiri!hamna kinachoendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom