Savanah dah nilipata pisi kali aiseeh likanitotolea kamanda....Manji mwenyewe ambaye ni mmiliki kaitelekeza.
Nakumbuka mwaka 2012 hapo palikuwa patamu kuliko mliman city.
Kuna kijiwe cha bata kiliitwa savanah ilikuwa balaa sana weekend
Wewe jinga nimechekaaaa aiseee sijui umewaza Nini yakhe!Wageuze liwe kanisa tuwe tunaenda kumuomba Mungu atupatie kazi
Umenikumbusha mbali sana,tulipiga bata sana hapo savannahManji mwenyewe ambaye ni mmiliki kaitelekeza.
Nakumbuka mwaka 2012 hapo palikuwa patamu kuliko mliman city.
Kuna kijiwe cha bata kiliitwa savanah ilikuwa balaa sana weekend
Inabaki kuwa ukumbusho sana kwako mkuuSavanah dah nilipata pisi kali aiseeh likanitotolea kamanda....
jengo linaloweza kuwapatia kazi mligeuze kanisa halafu mkamuombe Mungu awape kazi? [emoji23]
Mi mwenyewe ilibidi nicheke sana kwa comment ya ndugu EquitableHa ha ha!! Mkuu hapa umenichekesha sana aisee
Wacha tu Mkuu kama MOVI vile..kiwanja cha ukweliInabaki kuwa ukumbusho sana kwako mkuu
Pale dege eco village panasikitisha.PSSSF sijui NSSF, baada ya kurejeshewa jengo, wamelifanyia nini!?
Hawa si wana vitengo kabisa vya property management, kwanini, hawafanyi restoration na kuanza kukusanya Kodi na kurudisha pesa za wastaafu!?
Huu ni utapeli Kwa pensioners! Sawa na majengo ya Dege eco village! Wizi wizi, majengo wanaishi popo na buibui!?
Hawana uchunguz wamejawa visasi visivyo na tija!
Ni kazi ya Bashite hiyo!
Sijui sasa hivi anajisikiaje kwa aliyomfanyia Manji
Pale dege eco village panasikitisha.
Mamilioni ya fedha za watumishi yamelala pale
Udhamini wake kwenye mpira ulikata mtaji wakeHabarini wadau,
Nimeangalia huko kwa hii link huko you tube nikaona jinsi Quality centre ilivyo filisika kwakweli.
Vyoo ni vibovu, maduka mengi yamefungwa, jengo asilimia kubwa ni giza. Kwakweli hali ya Quality Centre Mall inasikitisha sana.
Shetani aliharibu kila kitu,shetani alipenda watanzania waishi kwa tabu shida na kusaga meno na hizi ndizo KAZI HALISI "SHETANI"Acha tu mkuu yaani Quality centre mall ilikuwa tamu sana ila sasa hivi ni kama jumba la mashetani! Baada ya kuiona hiyo clip moyo umeniuma sana.
Shetani aliharibu kila kitu,shetani alipenda watanzania waishi kwa tabu shida na kusaga meno na hizi ndizo KAZI HALISI "SHETANI"
Watawala wenye kisasi walifanya yaoAcha tu mkuu yaani Quality centre mall ilikuwa tamu sana ila sasa hivi ni kama jumba la mashetani! Baada ya kuiona hiyo clip moyo umeniuma sana.