Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

Manji mwenyewe ambaye ni mmiliki kaitelekeza.

Nakumbuka mwaka 2012 hapo palikuwa patamu kuliko mliman city.

Kuna kijiwe cha bata kiliitwa savanah ilikuwa balaa sana weekend

Doh!! [emoji1324]
 
watanzania wenyewe walikuwa wanamlalamikia Manji alivyokuwa anatupiga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, akaja jamaa na kuamua kusikiliza kilio cha watanzania na kumfix "gabachori", leo hii watanzania walewale wanalalama huku..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani QC Mall itarudia tu enzi zake, si nchi ishafunguliwa, mama anaupiga mwingi, tuwe wavumilivu kidooogo, safu inakamilika muda si punde!

Aisee itakuwa njema sana! Palitoa Ajira nyingi sana pale.
 
Nadhani duniani hakuna kiumbe mnafiki kama Mtanzania.......ndio maana wanasiasa Wana amua tu kuiba na kujinufaisha wao......ni kazi sana kuwaelewa watanzania.......ukikamata nafasi ya uongozi wewe kali familia yako na ukoo wako wote kama ikiwezekana.....achana na kuwatumikia Watanzania kwa kuwa haya mateso Wana stahili......
 
Doh!!! [emoji1324][emoji1324][emoji1324][emoji1324]
 
Ni zamu zao nao kuteseka sasa
Kabla ya kuingia kwenye nafasi za DC na RC alikuwa mlalahoi alafu baadae akapata hizo nafasi yaani mtu mshahara wake unafahamika kwenye hizi nafasi alafu anajitapa kumiliki vitega uchumi mabalimbali.

Tunasubiria Oktoba 2025 ila haki itendeke!
 
Hatarious [emoji1324]
 
Hakuna cha UDINI hapo ni facts tu kuwa DAU na ASSAD walifanya ufisadi pale NSSF. Inashangaza kuona ASSAD inajipambanua kama mtu muadilifu huku track record yake ni chafu iliyojaa religious bigotry. Awadanganye wasiomjua.
Jamaa ni mdini sana na waliiba pesa nssf
 
Ramadhani Dau kaacha maumivu mengi sana,kigamboni lazima ulipie ndio upite! Ofcouse na yeye anaishi huku lkn huyu mtu alistahili awe jela saivi,amechezea sana hela za waajiriwa.

Duh!! [emoji1324][emoji1324][emoji1324]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom