Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

Haya ndiyo mambo natakaga kuyasoma humu mkuu siyo zile ngonjera mara marehemu, mara tuliumizwa, mara unapigwa mwingi.

Kumbe hao hao wanavaa gauni alafu wanaibuka wamevaa suruali au kanzu aseee..!
Naunga hoja mkono.
 
Habarini wadau,

Nimeangalia huko kwa hii link huko you tube nikaona jinsi Quality centre ilivyo filisika kwakweli.

Vyoo ni vibovu, maduka mengi yamefungwa, jengo asilimia kubwa ni giza. Kwakweli hali ya Quality Centre Mall inasikitisha sana.

Tukusaidieje sasa
 
Hiyo mali yote Manji aliyotumia kujenga hapo alichukua kutoka NSSF enzi ya Ramadhani Dau; sina hakika kama huo mkopo ulirudishwa. Kama haukurudishwa maana yake hiyo mali iliyopo hapo inaoza ni ya wafanyakazi waliowekeza makato ya mishahara yao hapo NSSF. Wafanyakazi hawapati mafao yao kwasababu ya ufisadi kama huu uliofanywa na Ramadhani Dau na rafiki yake CAG mstaafu ASSAD wakati huo akiwa Mwenyekiti wa AUDIT committee ya board ya NSSF!
"Nani ananunua kwa cash ? Mtu mjinga ndio atanunua kwa cash"
 
PSSSF sijui NSSF, baada ya kurejeshewa jengo, wamelifanyia nini!?
Hawa si wana vitengo kabisa vya property management, kwanini, hawafanyi restoration na kuanza kukusanya Kodi na kurudisha pesa za wastaafu!?
Huu ni utapeli Kwa pensioners! Sawa na majengo ya Dege eco village! Wizi wizi, majengo wanaishi popo na buibui!?
Hawana uchunguz wamejawa visasi visivyo na tija!
 
Watanzania mnapenda na kuendeza sana anasa wakati tunasafari ndefu sana. Whyyyyyy?

So sad
Mkuuu sisi hatujakutuma kwenda Ughaibuni kuwa House Boy/ Mbeba Box kama ungekuwa Mwanaume halisi ungekuja kukomaa huku Nkomolo ya Namanyere ulime Mpunga ndani ya Nchi yako na kwenda kuuza Paris hukoooo na ungekula bata Viwanja vyote ndani ya bongo kwa raha zako.
Lkn kwakuwa mmechagua maisha ya akina Lema na Lissu yaaani Omba Omba mliojivika Wakimbizi wa Kisiasa mimi nawaona kama MADANGA YA KIUME tuu so punguzeni Makasiriko kwa sie tulioamua kukiwasha hapa hapa.
Karibu pande za IT plaza Floor ya Saba uje ule Beer na Watoto wa KiAsia Mkuuu
 
Nimecheka kichiz mkuu Tena kwa sauti kubwa. 'Thed weld' dwellers Bana. Yani mnatamani kuish maisha siyo yenu na tena nje ya uwezo wenu. Fanyeni kazi mjenge taifa. Hata kama kizazi chenu hamtafaidi matunda kama mkifanya kazi basi kizazi kijao kutanufaika. Mnaendekezaendekeza tu anasa wakati taifa baadooo.
 
Sasa wewe umeng'ang'ana na kibibi cha Kizungu miaka 85 eti ndio shemeji yetu hata kutoka nacho Out unaona shidda. Mko Ulaya hata Ibiza mnapaskia tu, lkn sisi tunaopambana kibongobongo Hotel Verde, Magoroto, Serengeti nk tunatia timu kumaaanisha kwamba tuko njema na madafu mifukoni.
Mkuuu acheni kuosha wazee mavi na kuzibua mitaro huko njooooni Nyumbani mpambane Nchi yetu fursa zipo nje nje acheni Utumwa wa kujitakia kwa kisingizo mnabeba Box mwishowe mnaaanza kutuonea gerre tukila bata letu
 
Lakini pia ujenzi wake pia ni kiwango cha chini
Habarini wadau,

Nimeangalia huko kwa hii link huko you tube nikaona jinsi Quality centre ilivyo filisika kwakweli.

Vyoo ni vibovu, maduka mengi yamefungwa, jengo asilimia kubwa ni giza. Kwakweli hali ya Quality Centre Mall inasikitisha sana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom