Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Kazi yake serikali ya kuweka soko huria imefanywa?
Uchumi huria wa mikataba kama ile ya ESCROW na EPA?
Kuna sheria imerekebishwa ya kutuzuia kutoibiwa tena kama ZAMA zile?
Hao wawekezaji unaowaita watanzania wa asia, walianza lini kujaribu wanachokiendeleza? wametufikisha wapi?
IQ yako ilishuka pindi ulipofikiria kwa ushabiki,
Mimi sina mlengo wa chama chochote, ni mtanzania wa chini nayejua hali halisi tuliyonayo na ndio maana nikapendekeza maboresho ya kilimo (ambazo ndio malighafi za viwanda vyetu zinakotengeneza ajira), baada ya kuwekeza kwenye kilimo ndipo tuanze kuzalisha.
Yaani Sukari haitokei bila miwa ya kutosha.

Mtatuuwa na vicheko
Awamu ya Nyerere, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mwinyi, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mkapa, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Kikwete, viwanda vingapi vilijengwa? Kwenye awamu hizo, kila kiwanda kilichojengwa kilikuwa publicized kwa kiwango cha awamu hii ya tano? Naona awamu hii, mfanyabiashara hata akitoa kusudio tu la kujenga kiwanda inakuwa ni habari kuuuuubwa wiki nzima tena kwenye media outlets zote? Nahisi, wahusika washapata hofu kwamba "Tanzania ya Viwanda" ni nadharia tu sasa wanapiga yowe kila mvumo wenye harufu ya kiwanda unapotokea. Yaani kwa mwendo huu, mtawakutanisha matapeli wengi na PM/Rais maana naona kila mwenye business idea ya kiwanda anapelekwa kwa wakuu. Ebu, wenye kujenga wajenge kimyakimya kisha tuonyeshwe siku vinapofunguliwa kuanza uzalishaji. Nakumbushia ile issue ya treni ya umeme ya yule tapeli wa kimarekani kama ilivyokuwa publicized kwa mbwembwe na Mwakyembe.
is there significant difference ya teknolojia ya upashanaji habari kati ya awamu ya tatu na ya nne? awamu ya nne na ya tano? I beg to squarely differ with you. key issue hapa ni kwamba; unapokosa makubwa ya kujivunia, unahamia kushadadia madogomadogoUko sawa mkuu, ila kuna tofauti za kimazingira, kimaisha na kiteknolojia juu ya mfumo wa kupashana habari. Habari hii imenifikia mimi nikiwa safarini kupitia simu yangu tu ya mkononi bila kuongea na mtu, bila kumwuliza mtu na bila kufahamiana na mtoa taarifa, na sasa mimi na wewe tunabadilishana mawazo bila hata kujuana wala kujua mahali tulipo katika sayari hii ya dunia. Kwa enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa unajua ni namna gani tulikuwa tunapashana habari.
Hata hii JF unayotoa maoni yako imeanza awamu ya 4,Social network mbalimbali Facebook,Twiter ,Instagram,Whatsapp zimeanza hii awamu ya 4is there significant difference ya teknolojia ya upashanaji habari kati ya awamu ya tatu na ya nne? awamu ya nne na ya tano? I beg to squarely differ with you. key issue hapa ni kwamba; unapokosa makubwa ya kujivunia, unahamia kushadadia madogomadogo
Awamu ya Nyerere, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mwinyi, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mkapa, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Kikwete, viwanda vingapi vilijengwa? Kwenye awamu hizo, kila kiwanda kilichojengwa kilikuwa publicized kwa kiwango cha awamu hii ya tano? Naona awamu hii, mfanyabiashara hata akitoa kusudio tu la kujenga kiwanda inakuwa ni habari kuuuuubwa wiki nzima tena kwenye media outlets zote? Nahisi, wahusika washapata hofu kwamba "Tanzania ya Viwanda" ni nadharia tu sasa wanapiga yowe kila mvumo wenye harufu ya kiwanda unapotokea. Yaani kwa mwendo huu, mtawakutanisha matapeli wengi na PM/Rais maana naona kila mwenye business idea ya kiwanda anapelekwa kwa wakuu. Ebu, wenye kujenga wajenge kimyakimya kisha tuonyeshwe siku vinapofunguliwa kuanza uzalishaji. Nakumbushia ile issue ya treni ya umeme ya yule tapeli wa kimarekani kama ilivyokuwa publicized kwa mbwembwe na Mwakyembe.
Hao unaosema wana mitaji, unao ushahidi kuwa wamewahi kuomba msaada wa serikali wakakataliwa?Kuna watu wenye pesa wengi tu wamekuwa wakitamani kuwekeza katika vitu SERIOUS lakini hawakuwahi kupewa nafasi
Sitaki kuamini kama kuna mtu atasema kwamba serikari imewahi kusupport uwekezaji wa ndani BILA MKONO wa siri
Kinachotakiwa ni wawekezaji wa ndani wote kupewa haki ya kufanya wanachoweza na sio matajiri wachache kushirikiana na PM kufanya vitu kwa suprise ambavyo nina hakika vitatucost mbeleni
Serikali ya kujenga viwanda kwa dunia ya sasa hakuna kwani siyo kazi ya serikali kufanya biashara. kazi yake kubwa ni kuweka mazingira[maeneo, nishati rahisi,kodi rafiki, kutokuwepo na urasimu, n.k] mazuri ili kuwezesha uwekezaji.Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?
Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara
Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries
Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena
Tangu lini Muhindi akawa mZAWA?
Neno MZAWA kwako lina maana gani tuanzie hapo kwanzaUkisema muhindi umeangalia rangi ya ngozi au unajua Quality Group ni mali halali ya nani?
Tangu lini Muhindi akawa mZAWA?