Quality Group imeanza kujenga kiwanda

Umeme kwetu ghali na sasa tunataka kuongeza 18.6% na bado sio reliable. Tanzania ya viwanda itawezekana?
 
Hii serikali ni kweli inakosea mambo mengi ila wewe naona umepitiliza kulalamika,nani mzawa kakataliwa kujenga kiwanda?acha ulimbukeni na kufuata upepo tu,unatutajia meng?hujui huyo mzee ni dalali mkubwa na alikutana na msomi mjanja akamsambaratisha
 
Machache ana tatizo,akigombana na mtu anatumia vyombo vyake kuonesha kaonewa ili apate sypathy.Aliambiwa alipe kodi bahati nasibu yake,ndio maana ikafa,na ingekua enzi za magufuli angelala na e mbele
 
Machache ana tatizo,akigombana na mtu anatumia vyombo vyake kuonesha kaonewa ili apate sypathy.Aliambiwa alipe kodi bahati nasibu yake,ndio maana ikafa,na ingekua enzi za magufuli angelala na e mbele
Pia ni dalali mkubwa alitajiwa kiasi cha kulipa akitaka kitalu akaanza kung'atang'ata vidole kama anatongozwa.
 
Hii serikali ni kweli inakosea mambo mengi ila wewe naona umepitiliza kulalamika,nani mzawa kakataliwa kujenga kiwanda?acha ulimbukeni na kufuata upepo tu,unatutajia meng?hujui huyo mzee ni dalali mkubwa na alikutana na msomi mjanja akamsambaratisha

Msomi?

bora umesema mjanja
 
Pia ni dalali mkubwa alitajiwa kiasi cha kulipa akitaka kitalu akaanza kung'atang'ata vidole kama anatongozwa.
Alidhani vile ni vitalu vya nyanya!weka dola milioni 5,application fee,weka dola milioni 100 assessment fee non refundable,kaanza kulalamika kwenye vituo vyake ili aonewe huruma,bahati mbaya watanzania wengi hawakumuunga mkonono
 
Aliyepita Njia ya Dar Mtwara, kuna sehemu nimekuta kiwanda kikubwa sana kinajengwa sijajua ni kiwanda cha nn. Ukubwa wa kile kiwanda sijawahi kukiona kwa hapa nchini. Nimeikuta kampuni ya kichina inajenga pale ni mbele ya mkuranga unapoelekea Mtwara
 
mkuu Quality Group ni kampuni ya mzawa.

ktk uchumi wa kisasa wa kibepari serikali sio jukumu lake kujenga viwanda ila kuweka mazingira ya kuvutia wawekezaji wa nje na ndani

kuhusu kufufua viwanda vilivyokufa nakuunga mkono serikali iangalie hapo zaidi kwa kuwapa wawekezaji wengine wenye uwezo
 
ni vyema sana maana sukar nayo ishakua tatizo sugu sna kwa tanzania yetu..
 
pia anaesema serikali iliahidi kutengeneza viwanda ni uongo ila serikali siku zote ipo katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nasi kujenga viwanda ni uongo.
 
Wasio wazawa wanavuna vyote na kupeleka kwao na kutuachia mrahaba wa percent tatu na mashimo.cha msingi hawa wazawa wabanwe walipe kodi na hiyo kodi tuitumie vizuri kuiendeleza jamii yetu.
 
pia anaesema serikali iliahidi kutengeneza viwanda ni uongo ila serikali siku zote ipo katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nasi kujenga viwanda ni uongo.
 
Nyie endeleeni kuponda mitandaoni,wenzenu wanawahi fursa baadaye wakitajirika oooh uyu freemason mara ooh aliibia serikali.
 
Atutakii siasa zamajitakaa sietunatakaa viwanda kiwe chalowassa mbowe abood manji mo

Sieaituhusutunataka viwanda achenii kumkatisja Tamaaaa huyu RAIS
 
Msherwa wacha zako, unauhasidi mpaka umejichanganya; Tanzania itasonga mbele upende usipende
 
Kazi ya Serikali katika nchi yenye soko huria na inyotaka kujenga uchumi wa viwanda ni kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa wazawa pamoja na wageni ambao wanataka kuwekeza katika viwanda.

Sijawahi kuona nchi yoyote duniani ambayo ina miliki viwanda vyote kwa asilimia mia moja.

Hoja yako ya kutaka serikali ijenge viwanda yenyewe ni hoja mfu na inayoonyesha upeo wa fikra zako unaishia wapi. Ilani ya CCM ilikuwa ni kujenga uchumi wa viwanda na uchumi wa viwanda ni pamoja na kutengeneza mazingira yakufanikisha hayo. Mmeanza kuona viwanda vinaanza kujengwa sasa mnakuja kuleta hoja kuwa serikali ijenge yenyewe. Kweli akili ni nywele.

Hoja yako nyingine kuwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu wa nchi. Hapa pia nina shaka hata kama darasa la saba umemaliza. Mzawa ni nani wewe ambaye umeshayakataa maendeleo na kuja kuwekeza kwenye Majungu jamii forums. Au hao watanzania wenye asili ya Asia ambao wanajenga viwanda kwa ajili ya kaka zako na dada zako wapate ajira?

Hoja ya Mleta mada kawataja Quality Group. Sasa nikuulize swali dogo tu hiyo QG ni kampuni ya kitanzania au ni kampuni ya kenya?

Ukipata majibu jitukane mwenyewe kimoyomoyo kwa upofu wa akili ulionao.

ONYO: Tafadhali usiquote hii comment utanishushia IQ yangu bure
 
Kazi yake serikali ya kuweka soko huria imefanywa?

Uchumi huria wa mikataba kama ile ya ESCROW na EPA?

Kuna sheria imerekebishwa ya kutuzuia kutoibiwa tena kama ZAMA zile?

Hao wawekezaji unaowaita watanzania wa asia, walianza lini kujaribu wanachokiendeleza? wametufikisha wapi?

IQ yako ilishuka pindi ulipofikiria kwa ushabiki,

Mimi sina mlengo wa chama chochote, ni mtanzania wa chini nayejua hali halisi tuliyonayo na ndio maana nikapendekeza maboresho ya kilimo (ambazo ndio malighafi za viwanda vyetu zinakotengeneza ajira), baada ya kuwekeza kwenye kilimo ndipo tuanze kuzalisha.

Yaani Sukari haitokei bila miwa ya kutosha.
 
Ni Quality Group hiyo mkuu. Kimya Kimya.
Aliyepita Njia ya Dar Mtwara, kuna sehemu nimekuta kiwanda kikubwa sana kinajengwa sijajua ni kiwanda cha nn. Ukubwa wa kile kiwanda sijawahi kukiona kwa hapa nchini. Nimeikuta kampuni ya kichina inajenga pale ni mbele ya mkuranga unapoelekea Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…