Pwani Raha Jamani lol!!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386

Baadhi ya wafanyakazi wa wizira ya maji na umwagiliaji wakicheza mduara katika Sherehe ya Wizira ya Maji na Umwagiliaji​
 


Hii sasa ni hatari!

Shukuru Mungu hizi picha na vitendo vya maofisini haviendi kwa mywaif wetu nyumbani..Vinginevyo mtu anakimbilia kulala kwa balozi fasta mazee!
 


Hii sasa ni hatari!

Shukuru Mungu hizi picha na vitendo vya maofisini haviendi kwa mywaif wetu nyumbani..Vinginevyo mtu anakimbilia kulala kwa balozi fasta mazee!
Mkuu Pka Jimmy thanks kwa kuitundika hii hapa manake mimi mara nyingi nashindwa kuzitundika hapa.
 
Kwani wao waweze wana nini hata sisi tushindwe tunanini.Cheza kidogo,imba kidogo.....
 

mbona ya kawaida sana?usijeshangaa imepigwa kwenye mkutano wa injili.
 
Mmhh! mwanawake wa kiswahili ukiwapa nafasi kidogo tu kosa, hivi mume wa huyu Dada akiona huu uchenzi kutakalika kweli?
 
Naamini hii ni ile pinda mugongo kabla ya hii ya sasa sugua kisigino, twanga wanaenda vizuri!!
 
hivi hao ni mtu na mkewe au ni watu wanaofanya kazi pamoja?, lakini hiistyle ya kucheza siku hizi ni noma kweli, hivi kama huyo ni mkeo/mmeo hapo si imani inaanza kuteteleka taratibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…