Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Baadhi ya wafanyakazi wa wizira ya maji na umwagiliaji wakicheza mduara katika Sherehe ya Wizira ya Maji na Umwagiliaji
umeona eeeh!!!mmmhhhhh
Mkuu Pka Jimmy thanks kwa kuitundika hii hapa manake mimi mara nyingi nashindwa kuzitundika hapa.
Hii sasa ni hatari!
Shukuru Mungu hizi picha na vitendo vya maofisini haviendi kwa mywaif wetu nyumbani..Vinginevyo mtu anakimbilia kulala kwa balozi fasta mazee!
hahaaaa!si muchezo!
mbona ya kawaida sana?usijeshangaa imepigwa kwenye mkutano wa injili.
Kama tumefikia hapo, basi ndo mwisho wa dunia umwewajia......
mbona ya kawaida sana?usijeshangaa imepigwa kwenye mkutano wa injili.
raha itatimia wakiwa wametoa nguohahaaaa!si muchezo!