Pwani Raha Jamani lol!!

Pwani Raha Jamani lol!!

Sio waziri tu hadi baadhi ya wafanyakazi
 
Kwa hari zaidi ,nguvu zaidi na kasi zaidi bongo tambarare
 
Tena mama mtu mzima. Huyo mzee mbona suruali imevimba kwa mbele?
 
kwa staili hiyo ni kweli wanamaanisha ni wa maji na umwagiliaji!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mzee sasa hivi ndio kama kaachiwa atawarukia hadi basi!
 
02.JPG

mbona ya kawaida sana?usijeshangaa imepigwa kwenye mkutano wa injili.

Nabisha, haiwezi tokea hiyo.
 
Huyo mama/ dada hiyo kitu ndio inamfanya ripoti yake ya performance kazini iwe Excellent. Wanacheza tu wakati huku Kimara hatuna maji!!!!!! Mwandosya mbona haonekani hapo?
 
Sioni tatizo. Huo ni mzuka tu. Hivi wangekuwa wanacheza sacrifice ingekuwaje? Wote wamevaa na ni marafiki kwa maana kwamba wako ngomani na hadharani. Huo ndo ukweli wa maisha ya work mates.
 
Wizara nyeti hiyo ati.ya maji na umwagiliaji nyie mnaleta mchezo?wacha wajimwage kama maji atiiiii?
 
Hapo bila kithibit mwendo cha uhakika(skin tight) Mkono unaweza usitoke mfukoni mwisho wa muziki mwanangu.
 
Back
Top Bottom