Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Unadhania ujamaa ni U-Marxist peke yake??
Teh teh teh teh teh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lumumba kuna kitu nakiona tangu nikiwa kijana wa Tanu youth league. Kama si u king'ang'anizi wa chama basi ni wa mtu. eg Cuba, China, Tz , North Korea etc. Mfumo huu wa kina Putin hauruhusu mawazo mbadala . Na ndicho kinachoisumbua Tz ktk kuendesha nchi
 
Hapo mwisho mkuu nimecheka mubashara[emoji23] [emoji23]
 
Wakisharudi hao wanadiplomasia wapimwe wasije? Wakawa wamepewa sumu ya kufa mdogo mdogo
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Leo Waingereza wamesema wanajeshi wao watawapa chanjo ya kuzuia sumu kama ilivyotokea kwa Russia
 
Hii aliitoa wapi mkuu
Kama sijakosea mwaka 2007 Vladimir alienda marekani kukutana na Bush walipiga picha ya pamoja na walienda pamoja nyumba ya Bush wakapiga story,kula na mengi kama unavyojua Putin hakubaliki marekani waandishi wa habari wakamuuliza Bush unamuamini Vladimir Bush akajibu nimemtizana Vladimir machoni nikaona roho yake.Sasa John McCain kwenye kipindi alikuwa anahojiwa na akaulizwa kuhusu statement ya Bush ndipo akajibu akimtizima Vladimir Putin machoni anaona herufi 3 K G B
 
USA wamekuwa na historia ya kutaka kubadili viongozi wa nchi kadhaa mara nyingi mfano kuanzia 1945-1989 marekani walijaribu kubadilisha serikali za nchi 73

Marekani huingilia chaguzi mbalimbali

1.CIA husambaza propaganda ,kutoa sapoti ya pesa na njia nyingi wakitaka kubadili serikali husika mfano mwaka 2015 kwenye uchaguzi wa israel Obama alitoa $1.5 Million kuwapa wapinzani na njia nyingine ili auondoe utawala wa Netanyau


Urusi ,China wanawindwa sana na westerns na leo kesho USA na NATO wanataka ku undermine nguvu ya kijeshi na uchumi wa urusi na USA wanataka hivyo hivyo kwa China ,CIA wanaumiza vichwa kupenyeza agents urusi


Binafsi naona urusi na China wapo makini sana ukiruhusu demokrasia ya vyama vingi wagombea wengi wengine ni agents wanatumiwa na CIA kudhoofisha dola na wanakuwa funded na CIA mfano yule mwanasiasa aliyepigwa risasi Moscow miaka ya nyuma.Huko nyuma usovieti walisalitiwa karibia mara mbili.

Cuba ,Venezuela ,north wanaogopa wakiondolewa mifumo yao itaondoshwa na wao ni waumini wa ujamaa ,hawataki ubepari ,na wajamaa wabishi wanachoamini wao ndio wanaona sahihi hata mwl nyerere alipofeli na ujamaa akaachia madaraka na kumuachia mwinyi aingie kwenye ubepari
 
Double agent... Acha ale pesheni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…