Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Putin: Siwezi kusamehe usaliti

How did Afghanistan War ruin Soviet Union?

The answer is simple wars are very expensive

The Afghan - Soviet war lasted over nine years from December 1979 to February 1989 which led to one of the most bloodiest wars in all of man kind..

Are you sure about this ???
This war was one of the most crucial reasons to the fall of the Soviet Union....because it became bankrupt.

So, the reason is bankruptcy and not casualties of war ???
 
1.Foreign policy tizama alivyotahadharisha kuivamia Syria na kumuondoa Assad kinguvu akatoa mifano ya Libya ,na maneno yake yanaishi mpaka leo angalia alivyo counter mgogoro wa USA na Iran na pia ishu ya North Korea.

2.Speech zake na interviews zake huchoki kutizama jamaa ana akisi maana ya uongozi

Kwa miaka 18 Putin na Ahmadinejad ndio Viongozi walionivutia ningekuwa na tuzo ningewapatia

Kweli sana mkuu.
Ukisikiliza mainstream media wanavyomsema putin ni dikteta, muuaji. Lakin ukikaa kumsikikiza mwenyewe akiongea ndo unafaham ni kiongoz wa aina gani.
In my opinion, He might be the best stateman on earth. Amekuwa msaada mkubwa sana hasa kwenye kupigana na IS Syria
Speech zake ni very interesting, kadri unavyomsikiliza ndo unazid kumkubali pia approval rate kwa wananch wa urus ni 80%.
 
Ndiyo wameondoa ukomo wa Uraisi,
Lakini maraisi wote wa Uchina kabla ya Zemin na Juntao walikuwa hawana ukomo.
Uchina mpaka leo haijaanguka na imekuwa taifa kubwa lenye nguvu sana kiuchumi.
Sasa kama kabla ya hao hakukuwa na ukomo. Imekuwaje yakafanyika mabadiliko mwaka huu?
 
Kweli sana mkuu.
Ukisikiliza mainstream media wanavyomsema putin ni dikteta, muuaji. Lakin ukikaa kumsikikiza mwenyewe akiongea ndo unafaham ni kiongoz wa aina gani.
In my opinion, He might be the best stateman on earth. Amekuwa msaada mkubwa sana hasa kwenye kupigana na IS Syria
Speech zake ni very interesting, kadri unavyomsikiliza ndo unazid kumkubali pia approval rate kwa wananch wa urus ni 80%.
Nilitokea kumkubali Putin baada ya kusikiliza interview yake moja na tokea hapo mpaka leo namkubali sana Putin na nimekuwa addicted na interviews/speech zake nikiwa bored huwa nipo youtube nafuatilia interviews zake hata simu yangu ukiingia youtube utakutana na suggested videos nyingi za Putin na Nejad.Hachoshi kumsikiliza

Wanao muona Putin hafai ni wale wanaosikiliza mainstream media tu ila ukisikiliza speech ,interview zake utajuwa huyu jamaa smart sana na yupo poa na utajikuta unamkubali .Kule Syria ameleta msaada angalau na uzuri wa Putin ukimsikiliza haamini kwenye mabomu kusolve mambo .

Warusi werevu ndio maana wengi wanamkubali Putin hata kwenye michezo timu za urusi zikikutana na za ulaya lazima ugomvi zitokee na wa ulaya wachapwe utagundua licha ya west propaganda warusi hawali propaganda hizo.
 
Ndiyo wameondoa ukomo wa Uraisi,
Lakini maraisi wote wa Uchina kabla ya Zemin na Juntao walikuwa hawana ukomo.
Uchina mpaka leo haijaanguka na imekuwa taifa kubwa lenye nguvu sana kiuchumi.
Sera za kijamaa huishia mwisho kwenye u dictator. Mifano hai ni mingi duniani
 
Ni Raisi gani wa nchi kubwa haogopi kusalitiwa, kutolewa madarakani au kuuawawa ??
Ufaransa ni taifa kubwa kabisa duniani. Lakini ndani ya miaka 12 wamebadili marais 4 wa vyama tofauti tofauti na bado nchi ni imara zaidi. (Mitterrand, Sarkozy, Hollande na sasa Macron)
 
Back
Top Bottom