Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Ufaransa ni taifa kubwa kabisa duniani. Lakini ndani ya miaka 12 wamebadili marais 4 wa vyama tofauti tofauti na bado nchi ni imara zaidi. (Mitterrand, Sarkozy, Hollande na sasa Macron)
Hujajibu swali.
Ni Raisi gani wa taifa kubwa ambaye haogopi kuuwawa, kutolewa madarakani au kusalitiwa ??
 
Interview zake hazichoki kusikiliza.
Mfana ile alipohojiwa na megyn kelly kuhusu russia kuingilia uchaguzi wa marekana..damn alikukwa anajibu mpaka yule mdada anaonekana mjinga..
Hizi western media huwa ana zi out class mpaka aibu.
he is such a master class.
Halafu pia kuna huyu foreign minister wa urusi sergey lavrov na yeye yuko vizuri sana.
Kuna muda natamani ningewza jifunza kirusi.
 
Kagame, Musseveni, Nkhurunzinza na huyu wetu ni Wajamaa ???
Halafu mbona nchi za Kijamaa kama Denmark, Finland na Sweden siyo madikteta ??
Hizo nchi ulizozitaja si za kijamaa!!! Soma vizuri na hao uliowataja, wameathiriwa na u Africa na jambo moja pia linawaunganisha u bahima
 
Ndio misimamo hiyo au ubabe tu ambao siku zake si nyingi duniani.
Ubabe wake huo ndio imeifanya urusi imerudi kwenye ubora hata kama akiwa na siku chache ataacha legacy na Urusi bora ambayo ilianguka .

Putin na China wangekuwa walaini wasingekuwa na nguvu waliyonayo saizi.

Ukiisaliti nchi yako na kuomba makazi kwa wamagharibi na kutoa kila siri lazima utakuwa hunted tu na mwisho itakuwa message kwa wejgine waogope kusaliti..Putin ana machungu ameshuhudia great Soviet ikianguka kwasababu ya wapuuzi wachache
 
Pole kwa Ufahamu wako mkubwa!!
 
Haha Putin anawa own sana waandishi wa western ndio sababu napenda sana kumfuatilia majibu yake mpaka unacheka huyo megyn mara kadhaa anajibiwa majibu mpaka unacheka ,

Putin&Nejad nawakubali sana kwenye kujibu maswali za hawa waandishi wa western wapo smart sana

Sergey yuko poa sana na Putin hatoweza kumuacha huyu jamaa yupo smart sana ,points zake UNSC kuhusu NK ,Iran na hata ishu ya uturuki alivyouliwa yule afisa wao yupo smart sana na ana deal na foreign policy vizuri mno

Google ipo kidogo kidogo ukitaka unajifunza
 
Kuna press conference moja ilifanyika urusi kati ya rx tillerson na sergey, basi ndo wanaingia tu kwa room hata hawajakaa na kutoa briefing, ikatokea mwandish mmoja wa us ikaanza kuuliza maswali from no where, as u know how arrogant american are,..
Sergey was like:: who raised you and who was giving you manners.?
Yule dada alikuw embarrased kinyama, ikabidi apoe, alisahau kuwa yupu russia, where there is no political correctness, tena mbele ya badass lavrov.
 
Hizo nchi ulizozitaja si za kijamaa!!! Soma vizuri na hao uliowataja, wameathiriwa na u Africa na jambo moja pia linawaunganisha u bahima

Unadhania ujamaa ni U-Marxist peke yake??
Teh teh teh teh teh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nipe mkasa wa hao walio hoi mkuu au link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…