T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,784
- 46,615
Putin anaishi Nova Ogaryovo nje kidogo na katikati ya mji wa Moscow. Na sio kila siku anaenda Kremlin ambapo ndio kuna ofisiZa chinikwachini inasemekana kuwa international war inagonga hodi, acha tusubir nn kitajiri
Kama aliyekunyonyeshaBasi naweka hii nyingine, usipoikubali utakuwa chizi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Poland na rusia Ni mbali mbali,We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Watu ni wa puuzi sana. Yaani Putin aendelee kuona ujinga uliofanyika kusambaratisha ussr na kuvunja Warsaw pact ukifanyika tenakwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Haijui hata ramani uyo, mpuuze[emoji4]Poland unaijua?? Au unahisi ni karibu na URUSI???
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATOSababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
Cuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Alaska ni eneo la Marekani na Russia ndio aliliuza mwenyewe. Canada ina uchumi kuizidi Russia, na Russia hana cha kufuata Canada. Anaenda kumlinda dhidi ya nani sasa wakati Canada ni NATO member. Hapo tuiseme Mexico au CubaCuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
Mbona una makasiriko🤣🤣🤣🤣🤣Kama aliyekunyonyesha
Poland na rusia Ni mbali mbali,
Poland katenganishwa na Ukraine kufikia russia
Sent using Jamii Forums mobile app
1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu ndio kipindi ambacho China alinunua teknolojia nyingi za kijeshi kutoka makampuni ya Russia na kuhamisha wanasayansi wake. Ndio kipindi wataalamu wa Russia walihama nchi kwa wingi. Uchumi haukuwa unaruhusu kufanya uvamizi kwanza ndani kwenyewe hali ya usalama haikuwa kubwa.Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
Bro starting from cold world War. Cuban missiles na Turkey military base ya marekan. Mpk kufika kwa Gorbachev Rais wa 8 wa shirikisho la ussr kuja mpk kuisambaratisha ussr hatuwezi kusema kuwa 1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu. Hapana mifumo ilisababisha hayo yote na kutokana na upuuzi wa Gorbachev kuside na USA. Ndo maana nimesema 1989 mpk 1992 ndipo Russia ilipokuwa hovyo kutokana na uongozi uliokuwepo. But angekuwepo Putin asingekubali hilo. That's why 2 yrs baadae baada ya 14 countries kujiunga na NATO putin kuingia madarakani 1999 alitaka kwanza kuanza kuirudisha Alaska irudi Russia kwakuwa was sold out to USA 1867.1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu ndio kipindi ambacho China alinunua teknolojia nyingi za kijeshi kutoka makampuni ya Russia na kuhamisha wanasayansi wake. Ndio kipindi wataalamu wa Russia walihama nchi kwa wingi. Uchumi haukuwa unaruhusu kufanya uvamizi kwanza ndani kwenyewe hali ya usalama haikuwa kubwa.
Ukraine pekee ndio ilisaini mkataba mwaka 1991 kwamba iharibu silaha za nyuklia, Marekani ikatoa fedha na Urusi ikatoa guarantee kwamba haitovamiwa na ikapewa guarantee kwamba Ukraine haitojiunga NATO.
Mwaka 2014 Urusi ikaivamia Ukraine na kuchukua Crimea, bado ikaendelea kuzitenga Donetsk na Luhansk. Kwahiyo huo mkataba ulishavunjwa tangu 2014
We jamaa kweli kiazi...... hata ramani tu inashindwa kuifuatilia.... mpaka upi yupo karibu na RussiaBro sina akili kivipi? NATO wapo hapo Poland mpakani kabisa, Russia si arushe hata jiwe tu
... jamaa ana-practice ruling style ya akina Genghis Khan karne ya 13 huko. Anaota ndoto za kuirudisha USSR hata wenzie kwenye utawala wake wanamshangaa ila kwa kuwa ni udikteta mwanzo mwisho hawana la kufanya.Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Mimi naona wwe ndio kiazi kwasababu hujui historian kati ya Urus na Ukraine ila umekuwa mpumbavu was kujifanya unajua.We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Kwani sababu ni nini hasa babu hebu tuelezee tusiofahamu?Nani alikwambia hiyo ndio sababu? Muwe mnaficha ujinga wenu mbele ya watu
Kuna miktaba inayozuia Russia asiweke kambi za kijeshi Canada au Alaska?Cuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Elimu yako umesona nje au ndio hizi elimu ambazo ntu mwenye digree na mtu wa mtaani wamtaani anaafadhar?Sikuwahi kuwaza jamaa ni mjinga wa kiwango hiki!