Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,963
- 37,360
Wewe ndio huna mashiko MKUU sababu huwez ukaliamuru taifa teule liendeshe OP yake sehem fulaniSababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
Hata KORONYA 19 imekufa sababu ya OP yataifa teule la RUSSIAHuko kwenu LabdA ndo hawaongelei operation hii. Westen media % pengine 50+ sku hizi stories zao Ni hizi
Huyu mwamba atawaua kwa presha hawa natoBasi naweka hii
Nina miaka zaidi ya kumi huku jf nadhani wewe hata smartphone ulikua huijuiDogo kanyonye maziwa ulale.
huna akili.We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Bro sina akili kivipi? NATO wapo hapo Poland mpakani kabisa, Russia si arushe hata jiwe tuhuna akili.
Mpaka upi[emoji23][emoji23][emoji23]Bro sina akili kivipi? NATO wapo hapo Poland mpakani kabisa, Russia si arushe hata jiwe tu
Biden yuko zake UjerumaniKama namuona Biden akichungulia kwenye shuka kinachoendelea kwenye TV huku roho inamdunda balaa....
Busara inasema ni heri mtu anayekaa kimya ili kuficha mapungufu yake. Sasa wewe unaongea saana hadi tumeshajua uwezo wako. Anyway hata Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na SudanBro sina akili kivipi? NATO wapo hapo Poland mpakani kabisa, Russia si arushe hata jiwe tu
Huoni ni Photoshop hiyo?Nafuta hiyo, naweka hii[emoji28][emoji28]
Unadhan sijuiMbona alaska ni marekani na kuna mpaka kati ya alaska na rusia?
Ebwana upo kumbe!!! Long time hatuoni yale Mauhakikisho yako kuwa Russia itaaibika. Unajua nilikuamini sanaBiden yuko zake Ujerumani
Basi naweka hii nyingine, usipoikubali utakuwa chizi😊😊😊😊Huoni ni Photoshop hiyo?
Akili zako ni za Kitanzania. Ndio maana leo nimeona Jeshi la Tz bado lina tumia bunduki za 1980sSasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Cuba mbali wasema wewe, Marekani walimuonya Russia kuweka majeshi yake Cuba na Russia akatii amri na kuyatoa.Cuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Cuba na Venezuela ni Our GhetoCuba mbali wasema wewe, Marekani walimuonya Russia kuweka majeshi yake Cuba na Russia akatii amri na kuyatoa.
Mkuu kwamba Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Busara inasema ni heri mtu anayekaa kimya ili kuficha mapungufu yake. Sasa wewe unaongea saana hadi tumeshajua uwezo wako. Anyway hata Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan
AK 47 ili gunduliwa 1947Akili zako ni za Kitanzania. Ndio maana leo nimeona Jeshi la Tz bado lina tumia bunduki za 1980s
Sasa hoja yako ni ipi? Kwasababu marekani yupo hapo mlangoni tena karibuUnadhan sijui