edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,879
- 9,678
Walikimbia Moscow Mjerumani alipigana vita pande 4 tofauti angalia vita mwaka 1939 mpaka 1942 uone nani alikua anaongoza. Russia vita anazoshinda zi zile za makoloni yake ya ussr alibamizwa na Japan mwaka 1905 na navy yake yote iliharibiwa na mjapanSawa mkuu ila pia russia ndo ilikua na jeshi lililomsumbua ujerumani kaangalie vita ya mji wa stalingrad hapo mjerumani ndo alipo chemka kwenye vita ya pili ndo watu wakajua kumbe huyu mjerumani anapigika tu.